Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Eti ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani, Mimi binafsi haka kamstari kananiacha hoi licha ya kuniacha njia panda kwa kuwa sikaelewi dizaini..wazee wa mjini tafadhali mnijuze.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Lizzie Velasquez, who has been called “the world’s ugliest woman,” hoped to tell her story through an anti-bullying documentary about her life. She became well known in December 2013, when...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kijana mmoja baada ya kutajirika akamwambia babayake. "SEMA NIKULIPE NINI ILI TUSIJUANE TENA" Baba akamjibu kwa HEKIMA. " Mwanangu nipe mkeo nimnyonye maziwa kama wewe ulivyomnyonya maziwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!! (Special kwa babu lao Asprin) Peopleeeeeeeeeeeessssssssss!!!! Ni Snow to the Ball in da houseeeeeeee!!!!!!!! Guest: SnowBall Host: Lara 1 & Zinduna Topic: Things...
12 Reactions
151 Replies
10K Views
Saa nyingine unakaa na kuona umeshakuwa mkubwa sasa na kujiona una busara (@least we lie to ourselves to make us feel better), unawaangalia wadogo zako na kuwashauri especially kuhusu kubaki njia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Napenda niwashauri dada zangu hii tabia inayokuwa kwa kasi ya kupenda kugawa butty sio nzuri.wengi mnajidanganya kuwa ukimpa mwanaume huduma hiyo basi hato kuacha.ni fikra potofu kabisa kwani kwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndugu wanabodi, kulingana na utafiti nilioufanya kwa kina humu ndani nimegundua kuwa kuna wimbi kubwa la members kujihusisha na biashara ya kugegedana (me na ke).... Sasa basi kwakuwa Kinga ni...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari za weekend wana jf, kabla ningependa kutoa angalizo kwa wanaume wote wenye tabia za kujifanya wakali pind wanapokuwa na familia zao(baba),akifika hone tu mkewe na watoto wote kimyaaaa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mfano sasa, mwanaume unammendea dada fulani. Huna lolote kuhusu future naye zaidi ya kutaka tu kum... then usepe zako ( :smiling: ). Ofkoz kwenye negotiation, follow up na usumbufu na yeye...
4 Reactions
94 Replies
5K Views
Siku nilipogundulika nina VVU nilishtuka ila nikaja kuzoea na nikasema sitakuwa kwenye mahusiano na ikawa hivyo; tatizo ni siku za karibuni familia yangu haijui tatizo langu na imeyumba kiuchumi...
16 Reactions
78 Replies
10K Views
Nahitaji mama mstarabu wa kuniridhisha na kunitoa upweke maana hali si nzuri. Awe anaishi dar. Aliyetayari anipm namba yake nimtafute.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Asalaleeeeeeeeeeeeee! wana MMU Iko hivi kwa asilimia kubwa wanawake wengi hujikuta wamenasa mikononi mwa wale wasio wapenda kabisa lakin hulazimishwa na mazingira kama vile umri na vingine...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30. Natafuta mchumba muislamu mwenye kujitambua umri usizidi 27 na usipungue 20. Akiwa mwalimu ni vizuri zaid. Kabila lolote. Ulie tayari ni pm.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mungu alimwangalia Adamu akaona ni mpweke akasema sio vizuri awe mpweke,ndipo akampa usingizi mzito kisha akamkata ubavu wake wa kushoto akamwumba Hawa ili amliwaze,sasa nashangaa saivi badala ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
R. Kelly ameimba '' when a woman love, she loves 4 real...'' My take: Ni kwanini mwanamke akiamua kumpenda mwanaume, halafu akimkosa, anaweza akamchukia maisha? Nauliza kwasababu kuna wasichana...
1 Reactions
65 Replies
52K Views
WanaJF hivi kwanini wanaume wa siku hizi wanatongoza sana?Watu wanatongoza kama wanalipwa?Nini kimetokea mbona haya mambo hayakuwepo zamani?Yani sasa hivi sio mke wa mtu sio mtoto watu wanaomba...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
SHILINGI INA PANDE 2,kamwe Usiamini Ukweli wa Upande 1 tu wa Shilingi Mara nyingi unapoanza Uhusiano mpya na mtu kuna tendency ya kuuliza-uliza maswali ya kibwege------ tu madai yake...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
... Enjoy! http://youtu.be/ULLbBaU3NDM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, hii kitu imenitatiza kidogo Jirani yangu hapa huwa anakula mkong'oto wa nguvu sana toka kwa mumewe hadi anakwenda hospitali, lakini jamaa huwa anakuja na kuyamaliza kwa kuhonga cash kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…