Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ununuzi wa vitu na makabila yetu ya tanzania au iwe nje ya tanzania. Nitaanza na ndugu zangu WAZARAMO: najuwa mpo wengi humu Mzaramo ukimnunulia Khanga kila mwezi atahisi kuwa unamjali na kumpenda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vp hapo wenye hati miliki zao za ndoa kuna usalama?
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Kijana mtanashati na niko vizuri kunako bed, my age 27,natafuta mwanamke wa kuoa age between 32-40. Mimi nipo Dar,Warembo karibuni.
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Imekaa hivi, kama mnavojua kombe la dunia linaanza sasa mke wangu sio mpenzi wa mpira hata kidogo naona kuanzia mwezi wa nne anajishughulisha na kufuatilia timu mbalimbali za...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Habari zenu. Wakuu tangu wiki iliyopita, mwanangu (wa kike) amekuwa na tabia kwamba analala, usiku wa manane anamka ghafla huku anasema, 'nadai nyama yanguuu'. Atalia hivyo akidai nyama, na...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna makabila jamani yako kama wale mawaziri mizigo wa CCM, yaani wanaume kwa wanawake kitandani goigoi. Unakuta mwanamke mweupe, sura nzuriiii, miguuu myembamba kama ya mbu wa dengue, kitandani...
2 Reactions
169 Replies
37K Views
Wana Jf tumekuwa tunabishana kuhusu mke wa Pius msekwa ni nani
0 Reactions
13 Replies
9K Views
I'm easy going. I love laugh and enjoy life. I'm not perfect but I have a great personality. I'm looking same person. . someone as a friend probably a best friend to talk to n share stuff and...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Guys, habari ya hapo mulipo? jioni hii niko down sana. Najisikia kukata tamaa kwani nilivyopanga haijawa kama nilivyotarajia. Pia ninapitia wakati mgumu sana kibinadamu. Naomba unifariji jisikie...
1 Reactions
97 Replies
9K Views
Napenda kuwaombea ruhusa wanaume wote kuwa kuanzia tarehe 12 Juni 2014, mashindano ya kombe la dunia yataanza pale Brazil. Hivyo wewe mama, ukiambiwa na mwenzi wako kuwa anakwenda kuangalia mpira...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Ilikuwa mwaka 2004 nilipokuwa kidato cha kwanza katika shule ya sekondary Matema beach iliyopo wilayani Kyela. Katika shule hiyo nilipokuwa nasoma nilibahatika kufahamiana na dada mmoja alikuwa...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni vyema kuwa na upendo kama watoto wadogo maana hata sisi kama watu wazima tumezaliwa tukiwa na upendo ila katika makuzi yetu tunanyang'anywa huo upendo na na ndiyo maana tunaishi kwa chuki na...
5 Reactions
53 Replies
19K Views
Siku ya jumanne nilipata msiba wa rafiki yangu ambae alifariki dunia ghafla Jamaa yangu huyu alikuwa na maandalizi ya kufunga ndoa siku sio nyingi zijazo,kifo chake kilikuwa cha kustua sana na...
2 Reactions
87 Replies
18K Views
Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu kwamba wote ni wazima wa afya. Nimepata taarifa asubuhi ya leo kwamba mwana JF mwenzetu Jeska amefiwa na mama yake mzazi huko Bukoba hapo mnamo tarehe 21 May 2014 na...
9 Reactions
94 Replies
6K Views
Some body told me that pleasure is temporary happiness and happiness is permanent pleasure what is or argument please
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Habari wadau, kuna dada mmoja hivi hakika ni mrembo haswa ninasomea nae kozi moja, huwa kila nikiwa karibu nae mwili unaenda mbio, nakosa hata maneno ya kumtamkia zaidi ya neno "mambo?". Ila kwa...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Habari za leo waungwa. Siku za nyuma niliomba ushauri hapa kuhusu uhusiano na mpenzi wangu, mawazo yenu nimeyafanyia kazi ila kinachonishangaza bado ninapatwa na maumivu ya kichwa ninapofikiri...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
Nimeona threads nyingi kuhusu waliokutana na vibamia au mabwawa ya Mtera. Inakuwa kama ajali vile wakati kuna njia za kujua masuala hayo kabla ya mtanange! Inaweza isiwe kwa asilimia mia kwa mia...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani dunia ina mambo, viumbe mbuzipori nae ni ishu nowdays? nilikubali kubadili dini (mwanamke hana dini) ili nifunge ndoa na nimpendae ila nilimweka wazi kuwa kitimoto sitaweza mweka mdomoni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…