Ogopa mataperi

Ogopa mataperi

ndalaweya

Member
Joined
Apr 5, 2026
Posts
63
Reaction score
127
Usipende kujiamlia Mambo kijana kama hujaoa nakushauri kaa mbali na mabinti wa chuo kama lengo ni kupata waifu matilio ogopa mataperi chuo hakuna waifu matilio msije kusema sijawaambia
 
Matilio ndio nini wewee?
 
nyie wacheni zenu sasa hao wachuo wataliwa na nani.Tatizo badala ya kula asali mnachonga mzinga,acheni zenu.

Hao student ndio kazi zenyewe,unafeli wapi baharia.
 
Mara nyingi mabinti wa vyuoni wapo kwenye rika la ku-explore...
 
Usipende kujiamlia Mambo kijana kama hujaoa nakushauri kaa mbali na mabinti wa chuo kama lengo ni kupata waifu matilio ogopa mataperi chuo hakuna waifu matilio msije kusema sijawaambia
hasa hivi vyuo vya AI ndio balaa! kwanza hata bikra ya pua huipati..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom