Hujadanganya aisee,zimenyooka balaa🫡Post zako nikisoma napata faraja upo loving sana
Yupi huyo?SERAN ndo habari ya mjini kwa sasa hapa Jf ogopa matapeli kaka
wivu tu mxiuuuuWewe mgeni nani kakupa namba za huyo dem, uliuliza ni wa nani kabla?
ana utulivu sana kwenye uandishiHujadanganya aisee,zimenyooka balaa🫡
Hahahawivu tu mxiuuuu
Wewe bado mgeni humu, humjui binti wa zamani wewe 🔥🔥Dada huyu anajua mahaba balaa nyuzi zake za kishua.natamani nipate mke mwenye mahaba kama yeye.