Kwa wanaume walioko kwenye ndoa

Kwa wanaume walioko kwenye ndoa

Phenomenon Lady

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
407
Reaction score
246
Samahani kama nakosea lakini nina.swali,kwanini wanaume wengi wenye ndoa zao wanapenda kwenda club au sehemu starehe za night kali bila wake zao??

Kuna rafiki yangu alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa juzi kwahiyo akaamua kwenda club na friends zake wengine anaosoma nao chuo,kufika huko kakutana na mume wa mtu ALIEJIFANYA(I believe so) amempenda sanaaaaa rafiki yangu huyo...
Sasa rafiki yangu nae anajifanya amekolea imebidi nimpe vipande vyake weee ndo kaacha ku entertain huo upuuzi.

Jamani kwanini usiende na mwenzi wako mkafurahi wote??namna hii Ukimwi utakoma kweli???
 
Watu wanaingia kwenye ndoa tu kutoa nuksi.
 
Nenda kamuulize huyo aliyofanya hayo madudu. Wanaume wengine hatuko hivyo.
 
...wengine hata wakitembea njiani pamoja hawawi "hand-to-shoulder", mmoja mbele mwingine nyuma...
...we Kula saa unapumua yupo pembeni tu, kitandani yupo pembeni, sebleni, nadhani watu wanachoka kiaina..
 
Club bhana ukienda na mtu mnayeheshimiana hainogi kabisa. Ila ukiwa mwenyewe unacheza bila kukunja goti freely!
 
Sio club tu kokote! MKE LAKE SINK NA DINING TABLE! Dinner table, clubs, lounge, na mazaga kama hayo ni special kwa waenda motoni tu!

Mke lake sinki, mkaa, akimaliza apige magoti na wanae wamuombee baba yao, fungo si chini ya 10 kwa mwaka, maombi zaidi ya kanisa, ibada masaa 24!

HAPPY FATHERS DAY,!!!!
 
Amen!!!

Mme zake chepukoz
 
Samahani kama nakosea lakini nina.swali,kwanini wanaume wengi wenye ndoa zao wanapenda kwenda club au sehemu starehe za night kali bila wake zao??

Kuna rafiki yangu alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa juzi kwahiyo akaamua kwenda club na friends zake wengine anaosoma nao chuo,kufika huko kakutana na mume wa mtu ALIEJIFANYA(I believe so) amempenda sanaaaaa rafiki yangu huyo...
Sasa rafiki yangu nae anajifanya amekolea imebidi nimpe vipande vyake weee ndo kaacha ku entertain huo upuuzi.

Jamani kwanini usiende na mwenzi wako mkafurahi wote??namna hii Ukimwi utakoma kweli???
ndo mana arv bure na komdomu daily zinaongezeka. Keep going miss mbona wewe haukuwa na bwanawo..
 
hahaaa...hivi Phenomenon Lady umeemuliza au unajua the open secret ni kina nani wanalipia hizo bday za kufanyia ma club na sehemu ntyinginezo kali kali? Wavulana wanaosoma nao wanaweza kugharimia hayo mambo?

Kilichotokea hapo ni rahisi kabisa biashara ya nipe nikupe,,,sana sana ulitaka kumharibia deal mwenzio

waje hapa wanachuo waseme......hiyo mitoko, mi bday, miparty, minini sijui wanafund wao au wanakuwa wanashangaa tu kupewa taarifa "leo nafanya bday Mzalendo...."

So, ni issue ya pande zote. Kuhusu kwenda club ni preference ya mtu, wengine wanaenda na wake zao, ila sio siku zote mke atakuwa interested, so huwa wanaelewa kama ni mwanamke aliye mke na sio mwanamke tu

CC Asprin
 
Last edited by a moderator:
Kwakuwa sijaoa ngoja nisitie neno hapa ......!!
 
hujakosea ndugu

binafsi nalitizama kama jamaa wa aina hyo wako sahih
 
Club siku ukienda na mtu kuna kua na opportunities kibao
 
Back
Top Bottom