Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
UNAAMKA umenuna, unaoga umenuna, unavaa umenuna, unakwenda kazini umenuna. Jioni unarudi umenuna! Inasaidia nini?
Kama una dukuduku na mke au mumeo/mpenzi mwambie.
Zungumza naye. Unanununa nini?
Haitakusaidia kitu.
Njia njema zaidi ya kumaliza matatizo ndani ya nyumba ni mazungumzo.
Chukua hili kutoka kwangu Kibo10
Kama una dukuduku na mke au mumeo/mpenzi mwambie.
Zungumza naye. Unanununa nini?
Haitakusaidia kitu.
Njia njema zaidi ya kumaliza matatizo ndani ya nyumba ni mazungumzo.
Chukua hili kutoka kwangu Kibo10