Wakina dada pita hapa

Wakina dada pita hapa

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
48
Wakina dada wa sasa noma sana unamtongoza leo kwavile ume introduce wazo geni ambalo alikuwapo kichwani mwake inamchukua siku kadhaa kukubali/kukataa sasa balaa linakuja pale atakapo taka kuamini huyu jamaa ananipenda kweli UNAJUA MNATUMIA MBINU GANI?


MWANADADA ATAOMBA PESA KIASI(HIKI NDIO KIPIMO KUJUA KAMA ANAPENDWA)USIPOMPA BASI UMEVURUGAA SITAKI KUAMAINI ILA NDO H IVO...NIMEANDIKA KISHKAJI ILA UJUMBE UMEFIKA..



ASANTENI SANA
 
wakina dada wa sasa noma sana unamtongoza leo kwavile ume introduce wazo geni ambalo alikuwapo kichwani mwake inamchukua siku kadhaa kukubali/kukataa sasa balaa linakuja pale atakapo taka kuamini huyu jamaa ananipenda kweli UNAJUA MNATUMIA MBINU GANI??????????


MWANADADA ATOMBA PESA KIASI(HIKI NDIO KIPIMO KUJUA KAMA ANAPENDWA)USIPOMPA BASI UMEVURUGAA SITAKI KUAMAINI ILA NDO IVO...NIMEANDIKA KISHKAJI ILA UJUMBE UMEFIKA..



ASANTEN SANA
Hahahaaaaa!
Kama huna mkwanja, madem bomba watabak kuwa shemeji zako....
 
Kwa hyo unashauri tupimeje upendo wenu?...
 
tunaomba pesa tujue kama unajua majukumu na si type ya kina yahaya
 
wakina dada wa sasa noma sana unamtongoza leo kwavile ume introduce wazo geni ambalo alikuwapo kichwani mwake inamchukua siku kadhaa kukubali/kukataa sasa balaa linakuja pale atakapo taka kuamini huyu jamaa ananipenda kweli UNAJUA MNATUMIA MBINU GANI??????????


MWANADADA ATOMBA PESA KIASI(HIKI NDIO KIPIMO KUJUA KAMA ANAPENDWA)USIPOMPA BASI UMEVURUGAA SITAKI KUAMAINI ILA NDO IVO...NIMEANDIKA KISHKAJI ILA UJUMBE UMEFIKA..



ASANTEN SANA

Na ukitaka kumkatalia mwanaume muombe pesa anaondoka mwenyewe tena bila yakusema kwaheri
 
Polee kwa yaliyokukuta...!!

Ila uelewe tuu kwamba sio wadada wote wako hivyo..!
 
upendo haupimwi na mizani ujue hilo shauri yako waulize wenzio ukimpiga tu kibomu zile sweet sijui mke zinakata ahahahaaaa
 
Back
Top Bottom