PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 645
- 501
Wasalaam!
Ni stori ya kweli iliotokea kwenye moja ya majiji makubwa hapa tz:
Jamaa alioa mwanamke aliekwishazaa mtoto mmoja na mwanamme mwingine kabla ya kumwoa. Ni mtoto wa kike.
Lakini cha kushangaza ni kuwa mme huyo aliamua kutembea na yule mtoto wa mke wake. Yeye ndo kazindua ulimwengu mpya wa mapenzi kwa mtoto yule, alim..b.....ki.ri.
Tayari mke wake anafahamu, na ameamua kuwa na kivua.
Ingalikuwa wewe ungefanyaje!!!!????