Ni mama wa miaka 40 na ni mwajiriwa wa serikali katika halmashauri. Ninahitaji mchumba mwenye miaka 45-55,
Kwa aliyetayai anianike gloriafrancis60@yahoo.com
Ni kijana wa miaka 25,mwenye sifa zifuatazo
1.mwembamba wastani na mrefu futi tano,
2.ni mtanashati ,mpole na naweza kuchukuliana na yeyote
3.elimu yangu ni chuo na nipo mwaka wa pili
4.ni mkristo...
Tabia ya wanawake kuwa wasagaji au angalau bi-sexual imekuwa ni kubwa sana Tanzania, na wengi wana wake zao au girl friend zao ambao hawajui ukweli huu kwani wanawake wengi wanaogopa kwamba...
WADAU NATAFUTA MARAFIKI WA AINA MBILI.
1.YEYOTE ATAKAEPENDA TUBADILISHANE MAWAZO.
Sifa
a)Awe na nia ya dhati (serious)
b)Umri miaka 18-30
c)Awe tayari kukutana
d)Ajue kiswahili au kiingereza...
Ndugu wanajamvi,
Naomba kwa ambaye ashawahi kuagizia gauni la harusi-online shopping anipe uzoefu wake kwenye yafuatayo
Jina la website ambayo alinunua hilo gauni
Jinsi alivyodeal na ishu ya...
Habari zenu wana JF,
Hiii ni hali ya wiki mbili sasa inanitokea tangu pale nilipojuana na binti mmoja ambaye alinipigia simu na kudai kwamba amebuni tu namba na kupiga nikamwambia madhumuni yako...
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....
Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia...
Yupo kijana mmoja mtaani kwetu huku kijijini kwetu ambaye kila inapofika msimu wa mauzo wa mazao hununua vitenge vingi na kuweka ndani.watu wanachoshangaa ni kwamba kijana mwenyewe hajaoa vitenge...
Wanawake tuwe wepesi kuomba mi samaha pale tunapokosea,sisi wenyewe tunaweza kupunguza michepuko ya waume zetu hasa tukifanya haya :
1.Kutokuwa wa jeuri
2.Kuwa wa bunifu wa hali ya juu...
Napenda mpira sana na mume hapendi wala hajui kuhusu mpira sisi leo hatareee kucheki peke yangu hainogi mpaka niende sehemu,hapo sisi nashindwa nianze vip kuomba ruhusa .
Wanawake wenzangu...
Ukitaka kujua wapenzi wana muda gani kwenye mahusiano yao ni rahisi sana
Wakati wanatembea angalia wameachana kwa umbali kiasi gani, kama wana wiki au mwezi ni zero distance, jinsi ndoa...
Moja kati ya mambo yanayo chukuliwa kama taboo kubwa katika familia nyingi za kiafrika ni mambo yanayo husiano na ngono pamoja na yale yenye muelekeo wa kingono.
Kwa...
Habari za muda huu wadau wa jukwaa hili. Nimekuwa ktk mahusiano na msichana flan kwa kama miaka miwili sasa. Nampenda sana maana anaonekana mwenye akili ya kutafuta na anajielewa pia.
Mwaka jana...
Jana wakati natazama game ya uholanzi na spain niliwashuhudia robben na van persie wakifunga magoli mawili kila mmoja huku wakifuatiwa na shangwe za kutosha kutoka kwa mashabiki, kichwani kwangu...
Utakubali au kukataa baada ya kusoma ukweli huu...
(1) Wengi wa wasichana weusi uliowafahamu miaka mitano iliyopita kwa sasa siyo weusi kama kipindi ulicho waona.
(2) 98% ya wadada wa kileo...
Natafuta mwanamke mwenye sifa zifutazo:-
Umri 28 hadi 35,
Mwenye kujitambua,
Mpenda maendeleo,
Mcha Mungu,
Mwenye mtoto sawa maana mi ninao,
Asiwe mnene
I have a friend.She is gay though still in da closet. She was in a serious relationship with her girl frnd until late last year. She got married to her husband whom she bearly knew late last year...
Jamani, msimu ndio umewadia wa kuoa, changamkia ! Mtaani hapa muziki kwa kwenda mbele, kuoa, kuoa, kuoa, kuoa, kuoa........................... kila leo! Inapendeza!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.