Imeniuma mnooo ...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,461
37,445
Hapa nlipo nnamawazo, nipo kazini na siamini kilichotokea kama ni kweli. Mmmmmhhhh nashindwa hata kuendelea kusimulia maana macho yote yanabubujika machozi uuuhhhhhh iiiihhhhhh :crying::crying::crying::crying:

Yaani nimeumizwa moyo mnoo, sijui hata kama ntaweza kufanya kazi leo am so down!!!
Hakuna mtu mbaya kama mnafiki, ni zaidi ya muuaji, wanifanyia unafiki mtaani hadi kazini daaah!!!!
uuuhh moyo unauma jamani.......:crying::crying::crying::crying::crying:........
niombeeni tuu
 
Hii hekaya yako mbona haieleweki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom