Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,220
- 138,656
Wakuu nimeoa nina mwaka mmoja.
Shemeji/wifi yenu ana mimba,kwa kweli kipindi fulani akawa na mapenzi mazito sana na mimi,kiasi kwamba nikiwa field,wikendi lazima anifate,usiku tunaongea na simu mpaka saa 6.
Bandugu amebadilika ghafla,simu anampa house girl kupokea,text hajibu.
Akichoka kelele za ring tone anazima.
Hata sijui nifanyeje,kazi haziendi huku mbali nilipo.
Daaaah,majanga