Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wanajamii forum.kuna mademu kama wawili hivi nimekutana nao cha ajabu kudendeka nadendeka nao ila papuchi hawataki kuachia eti wanasema wana wapenzi wao ndio maana tunda hawataki kutoa ila denda poa tu jamani roho inaniuma yaani basi na hao wako siriazi wamekomalia kwamba tunda hapana cjui nifanyeje