MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,486
- 44,250
.
munkari alichonidanganya ni kuniambia ananipenda ila kiuhalisia ni kwa sababu ya vijisenti nilivyokuwa nampa. Roho inasita kurudisha mapenzi kwake. Njiapanda ni kwa sababu pia alikiri kwa swahiba wake alichokifanya sasa swahiba ananisihi nisimwache na kwa upande mwingine niligombana nae kwa hata yeye nahis anastahili kuombwa msamaha ambapo sitaki.
basi fanya hivi,kama unahisi anakupendea pochi yako ni wazi HAKUFAI pia kama unaona anastahili kuombwa msamaha kwakile ulichomwambia(matusi i think) basi mtake radhi na kila mtu achukue hamsini zake!! Wasichana wazuri na wema wapo wengi tu niwewe kuwa makini na uchaguzi wako.otherwise kila la kheri kwenye maamuzi yako!!
Asante Munkari kwa kunitia moyo, ubarikiwe sana.
Mpe ada kwnaza mtoto asome, alafu mengine yatafuata. Si unajua mtoto wa mwenzio ni wa kwako
basi fanya hivi,kama unahisi anakupendea pochi yako ni wazi HAKUFAI pia kama unaona anastahili kuombwa msamaha kwakile ulichomwambia(matusi i think) basi mtake radhi na kila mtu achukue hamsini zake!! Wasichana wazuri na wema wapo wengi tu niwewe kuwa makini na uchaguzi wako.otherwise kila la kheri kwenye maamuzi yako!!
somesha, we somesha tuuuu ipo siku atakupenda kwa dhati! na wewe inaonekana uliweka pesa mbele ikusaidie kutongoza ikabidi binti atumie fursa
Tunajipa moyo tukiwa in the loosing side.
Hakuna mkitu kama hiki.