Guest houses; eti hii ni kweli?

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
521
87
Wanasema eti guest houses mara nyingi hujaa wake za watu wakiambatana na vijana wadogo wadogo, ati kulikoni waume za watu wakiambatana na mabinti wadogo wadogo.

Wana JF hebu tuambizane ipi statement ni kweli kutokana na mtazamo wako. Cheers!
 
Tuanze na wewe,kama ni me,ukienda guest mara ngapi umeenda na wake za watu na mara ngapi umeenda na vibinti vidogo!

Kama wewe ni ke,mara ngapi umepelekwa na waume za watu na mara ngapi umepelekwa na Serengeti boys!

Kama hujawahi kwenda guest basi hizo stori ni za uongo hakuna anayeenda na vibinti,wake za watu,wala waume za watu,wala Serengeti boys
 
Mi bado sijaoa; mke wa mtu nikimpata au hata kibinti kidogo vile vile sawa!

Tuanze na wewe,kama ni me,ukienda guest mara ngapi umeenda na wake za watu na mara ngapi umeenda na vibinti vidogo!

Kama wewe ni ke,mara ngapi umepelekwa na waume za watu na mara ngapi umepelekwa na Serengeti boys!

Kama hujawahi kwenda guest basi hizo stori ni za uongo hakuna anayeenda na vibinti,wake za watu,wala waume za watu,wala Serengeti boys
 
Tuunganishe nguvu kama vip tukutane Royal Kibadamo au Mick's Hotel Ubungo tuchukue Room tupige utafiti.

mmmh mimi nilijua unatoa ya offer bia tukae karibu na mlango wa kuingia ndani tuhesabu na tuone wanaoingia mkuu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom