Mapenzi na mtoto

Mapenzi na mtoto

kinjaanjaa

Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
36
Reaction score
6
Kijana msichana wa miaka 18 ametokea kunipenda yeye amesoma hadi std VII sasa ni h/girl mimi ni mtu wa ndoa je nifanyeje?
 
mkuu, wewe ni mtu mzima, umeoa, na una akili timamu. Leo hii unaingia mtandaoni kuomba ushauri juu ya msichana mdogo aliyekupenda? seriously?
 
Nina wasiwasi kama umeoa suala dogo kama hilo unaomba ushauri ukiyapata makubwa kwenye familia yako utatatua vipi.
 
Acha tabia mbaya..mheshimu mkeo, iheshimu familia yako..kumbuka unaangaliwa kama kichwa cha familia.
 
Kijana msichana wa miaka 18 ametokea kunipenda yeye amesoma hadi std VII sasa ni h/girl mimi ni mtu wa ndoa je nifanyeje?
Hii mechi ina matangazo mengi kama huu utumbo hapa juu...
 
Watu wengine mnapenda Matola awatukane tu na post zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
fanya hivi. nenda dukani unune vidonge ishirini vya aina tofauti tofauti na soda ya kokakola halafu unywe taratibu, kisha rudi nyumban ulale kimya..sawa!!
 
Yaani Huna akili ya kutambua kuwa huo ujinga hadi uje hapa....?
 
Mnatuchosha akili jamani na hilo nalo linahitaji msaada kwa mtu aliye ktk ndoa heshimu ndoa yako na mheshimu mke wako thus the fact
 
Back
Top Bottom