Jamani uswazi kutamu, sihami nimeshasema

Jamani uswazi kutamu, sihami nimeshasema

holygrail

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,303
Reaction score
598
heheheiyaaa!!.,tenaaaaa!!!

Hakuna kama uswazi wajameni!!...yani ningejua ningelihamia mapemaaaa!!

Nina mwezi sasa tokea nimehamia hapa kwa tumbo tandale baada ya maisha ya kishua kunikataa!!

Huku watu wapo vere sosho hadi raha!!...afu mwenzenu nina kale ka ugonjwa ka mijimama yenye misambwanda ya ajabu!!...huku ndo wamejaaaa!!!

Huku vigodoro kila siku wajameni!!..huko unakutana na mijanamike ya kiswazi iliyofungasha nyuma balaa!! Inanyonga mauno kama feni!!...mimi hoi!!

Halafu hawana hata gharama ikizidi sana buku tano then unapewa huduma zote hadi choo unapewa jameni mweeh!!...

Watoto wa kishua vere majanga!!..wanaringaa afu ukicheki hata shepu hawana!! Afu wanapenda hela hao kama benki!!..

Karibuni sana uswazi jamani!!...wale wanaotaka mijimama inayojua mapenzi ya nguvu wani pm then nitawa kuwadia!!...
 
usihame uswazi na ukimwi utapa kwa hyo hyo buku tano sawa eeh!
 
Hilo cheko limetolewa na mwanume!!?

Ama kweli dunia imefikia kwenye diminishing point...!

Bila shaka you are not circumscised!

Teh.. Mkuu nimetania! Lol!

ha!ha!haa!duh!haki sawa jamani mwache mendhio.
 
Watu hujenda nchi nyengine kutafuta maisha na sio kusaka ukimwi ulipo.
 
holygrail
===>Umesahau kusema "KUKU WA KIENYEJI" naamini hata flava yake kila mtu anaijua!
===>Na majina yao sasa "Mama Jalala,Mama Sikujua,Mama Sikuzani,Mama Shida" na watoto wao majina yao ni "Shida,Jalala,Sikujua,Sikuzani" na mengineyo,ufundi A+!
 
Fanya lolote unalo ona vema kuharibu wanawake huko kumbuka Mungu anakusubri siku moja utatoa hesabu ya uovu wako huu unao kufanya uje hapa kwa mbwembwe.....ole itakuwa kilio na kusaka meno.
 
Fanya lolote unalo ona vema kuharibu wanawake huko kumbuka Mungu anakusubri siku moja utatoa hesabu ya uovu wako huu unao kufanya uje hapa kwa mbwembwe.....ole itakuwa kilio na kusaka meno.

we naye unasema tu!!...hujaonja hawa watoto!
 
Huyu jamaa ni muongo hakuna mfano jana alianzisha thread kuwa dogo kamuharibia valentine kuwa kamuibia sijui leo analeta story nyingine jipange
 
Hilo cheko limetolewa na mwanume!!?

Ama kweli dunia imefikia kwenye diminishing point...!

Bila shaka you are not circumscised!

Teh.. Mkuu nimetania! Lol!

Hahaaa!! Hatar, mm mwenyewe nimeshindwa kuelewa nimeishia kuguna tu..
 
Jamani!!! kwa hiyo na ww ushakuwa mwanamke wa uswahilini!!!!!!????
 
Back
Top Bottom