Msaada Please

Msaada Please

hussein boxer

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
832
Reaction score
335
Hapa karibu na ninapoishi kuna mama ntilie ana mdogo wake ambaye huwa anasaidiana nae kazi za hapa na pale,mimi nimekuwa na mazoea ya kwenda kupata msosi pale kwenye mgahawa wao pindi ninapokuwa sijaenda kazini. Yule binti alianza kunionyesha dalili za kunipenda ila mimi nikawa nampotezea maana nilikuwa bado na maumivu ya kuachwa na mpenzi wangu niliyedumu nae miaka mi4. Kila nilipokuwa naenda kupata msosi alikuwa akiongea maneno ya mafumbo ambayo yalinilenga mimi.

Baada ya kwenda mara kwa mara nikajikuta na mimi nimeanza kumpenda,kila napotafuta mda wa kubonga nae nashindwa maana huwa anajichanganya na watu wengi,nikimuambia nina mazungumzo maalum na yeye huwa hanijibu chochote anakaa kimya kama hanisikii,je niendelee kumtongoza au nimpotezee pia nijitahidi nisimuone kabisa maana naona kama napoteza muda kwake
 
Hapo mpotezee kwanza. Endelea kupata msosi wako kama kawaida ili usimwambie tena una mazungumzo. Kwa kuwa alilianzisha yeye..we msubiri uone reaction. Kama hatajari potezea na wewe.
 
watu wa sitaki nataka wanaboa sana.
mpotezee tuu coz wewe unaweza kuwa mteja wa 30 kutaka maongezi muhimu naye
 
Hapa karibu na ninapoishi kuna mama ntilie ana mdogo wake ambaye huwa anasaidiana nae kazi za hapa na pale,mimi nimekuwa na mazoea ya kwenda kupata msosi pale kwenye mgahawa wao pindi ninapokuwa sijaenda kazini. Yule binti alianza kunionyesha dalili za kunipenda ila mimi nikawa nampotezea maana nilikuwa bado na maumivu ya kuachwa na mpenzi wangu niliyedumu nae miaka mi4. Kila nilipokuwa naenda kupata msosi alikuwa akiongea maneno ya mafumbo ambayo yalinilenga mimi. Baada ya kwenda mara kwa mara nikajikuta na mimi nimeanza kumpenda,kila napotafuta mda wa kubonga nae nashindwa maana huwa anajichanganya na watu wengi,nikimuambia nina mazungumzo maalum na yeye huwa hanijibu chochote anakaa kimya kama hanisikii,je niendelee kumtongoza au nimpotezee pia nijitahidi nisimuone kabisa maana naona kama napoteza muda kwake

kaza kaza baba hao wanaanzaga hivo hivo halafu baadae wanazama anaogopa kuonekana MAHARAGE YA MBEYA.........
 
Hapo mpotezee kwanza. Endelea kupata msosi wako kama kawaida ili usimwambie tena una mazungumzo. Kwa kuwa alilianzisha yeye..we msubiri uone reaction. Kama hatajari potezea na wewe.

tatizo nimeanza kumpenda ila napomuona huwa naumia sana naona nibadilishe njia ili nisimuone kabisa
 
kaza kaza baba hao wanaanzaga hivo hivo halafu baadae wanazama anaogopa kuonekana MAHARAGE YA MBEYA.........

ni bora angekuwa anajibu kwamba yupo tayari kwa mazungumzo na mimi au hayupo tayari nashindwa kumsoma
 
Kama vp muundie tume imchunguze ujue nini shida, inawezekana kaonyesha dalili kwa mteja mwingine na jamaa akafanya fasta akabeba mgigo baada ya wewe kuonyeshwa awali dalili za kutakwa ukajidai kama hutaki vileeeee!!!
 
achana nae kwan ukiona hivyo ujue walishapita wengi kabla yako brooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom