kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
Wengi wanamuita Singida boy wadau kwa yeyote anaejua love life ya huyu mjamaa hebu anijuze...... maana simuoni akiandikwa andikwa magazetini kama akina nanliu.........
Na pale chuoni kwao TIA nlisikiaga anatoka na kabinti ka Kisukuma ka diploma kalikomaliza mwaka huu......
Hebu anaejua zaidi anijuze....
Sitaki na sipendi matusi kama hujisikii kujibu hebu piga kimya basiii....... na usiseme ni umbea maana hata wewe usingekua mmbea wala usingefungua siredi hiii.......
Senchyu bandugu in advance........