Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana MMU natumaini mu wazima lakini kwangu mimi hali si nzuri hata kidogo. Sababu mnamo saa nne na dk 45 usiku huu mpenzi wangu amenipigia simu na kuniambia kuwa ameunguzwa na pasi...
0 Reactions
83 Replies
8K Views
Na Hudugu Ng'amilo Uchunguzi umeanzishwa nchini Afrika Kusini kuhusu madai kuwa mkuu wa shirika la habari la SABC alikabidhiwa msichana mwenye umri wa miaka 23 kama zawadi. Tume inayohusika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Hope Mpo Poa!!..kuna kitu nimeshajiuliza sana na sio peke angu tu lakini still sijapata majibu!!..kwanini lakini?!, natumaini sisi wanawake kuna mengi tunayovutiwa nayo kutoka kwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu, Mimi binti nina rafiki yangu wa kiume anataka kuja nyumbani kujitambulisha na kutoa posa na mengine yafuate, naomba kujua kujua taratibu zinaendaje, ikizingatiwa mimi...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Ni ule umri wa under 20, full utundu nikawa nakanyemelea kabinti nyumba ya jirani, kila wakienda kulala mimi nanyata mpaka dirisha la chumba chake nalisukuma nazama ndani kimyakimya tunamaliza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Shalom Greetings JF member and our guests... Leo napenda niachane na siasa za vyama ili nijaribu ku-share experience na elimu ya ndoa hasa kwa wanawake walioko kwenye mahusiano ya ndoa na wale...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Naitwa idrisou , napatikana Moro ila zanzibar ndio nyumbani. Natafuta mpenzi wakike ali hali anipende nimpende maswala ya dini kabira sijari. Umri wangu 24. Bado mwanafunzi nasoma chuo Mzumbe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jaman huyu mzee anantaft nin mim eeh? baad ya kumalz kdato cha sita ikatokea shda kubw.. kpnd nikiw kdato cha 6 kuna bnt alikuw kdato cha 4 nikatokea kumpenda akaw wang., alpomalza kdato cha nne...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Mume ameniacha, kaenda kupanga nyumba sehemu nyingine, ananiambia tuachane sababu hatufanani. Mbaya ananitumia meseji kila siku usiku akiniambia jinsi gani ananimiss na kuwa ni jinsi gani moyo...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Habari, hope mu~wazima!!,.. " Honey Wangu Ananijali".. Hiyo sentensi fupi tamu ila ina utata,kuna wengne wengi hasa wanaume hawaielewi!! hivi wadada,unaposema hubby au mpenzi/baby wako...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu nyote, naomba niwashirikishe kwa hili linalonisumbua kwasasa, Nilishawahi kusema humu kuhusu Baba yangu, Sasa huyu mzee kwasasa tunaambiwa ni mgonjwa sana, anahitaji watu wa karibu wa...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
kama mtakumbuka mwanzo wa mwaka huu nilileta habari kuwa kuna mwanaume kenya amemtoa mke wake na kumpa mdai baada ya kushindwa kulipa deni la ksh 900. leo hii jamaa amelipa deni na kumchukua au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni kama kawaida siku hizi watu kuoana wakati wameshakutana kimwili au pengine kuwa tayari wameshaishi kama mke na mume,nadhani jambo hili lilianza zamani sana kwani wengine tulizaliwa wakati...
3 Reactions
86 Replies
10K Views
Mwili unapokuwa katika hali nzuri, huimarisha nguvu za tendo hilo. Kukosa hamu au nguvu ya kufanya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake hutokana na mambo mengi. Moja ya mambo hayo ni maisha ya...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za jioni? Ntumai mpo poa ..... Kama kawaida huwa siji na hoja hapa bila kuifanyia utafiti angalau kidogo na kupata mwanga,niliwahi kusikia na kusoma sana kwenye majarida na magazeti na...
2 Reactions
104 Replies
8K Views
zamani makao makuu ya mapenzi yalikuwa moyoni lakini kwa sasa yako kwenye waleti,kama huna pesa wasichana wazuri utaishia kuwaita shemeji .ndio au hapana changia maada
1 Reactions
10 Replies
2K Views
A cheating pastor was exposed after dying in his secret lover's arms, police in Kenya said. Nairobi Police said that the man, who neighbors identified as a pastor, died on Tuesday afternoon...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1.usimwadhibu wakati au kabla ya kula 2.usimshitaki kwa mzazi mwenzako .mfano amekosa na baba hayupo et unamwambi nitakusema kwa baba yako 3.mpe moyo kabla ya kufanya mtihani na msifie...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanaume wamekuwa wakijiuliza je, ni vizuri kunyoa ndevu kipara kabisa au kuziacha zikue na kuwa mzee madevu?. Je, nitaonekana navutia nikiwa nimenyoa ndevu au sijanyoa ndevu? Utafiti huko...
1 Reactions
42 Replies
16K Views
Life is an Exam! Many people fail because of copying answers from others without realising that everyone has got a different question paper that needs different approaches. Study your life...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…