Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Habari,
hope mu~wazima!!,..
" Honey Wangu Ananijali".. Hiyo sentensi fupi tamu ila ina utata,kuna wengne wengi hasa wanaume hawaielewi!!
hivi wadada,unaposema hubby au mpenzi/baby wako anakujali unamaanisha nini?!..au ni sababu gani inakufanya uone anakujali? ..na vilevile wakaka mnapoona kuwa mnawajali wenzi wenu huwa mnawafanyia nini mpaka mnaona kweli mnawajali?!
je ni pesa?! au mapenzi tu?au kuna kingine?!..
usiku mwema.