House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,189
- 2,214
Shalom Greetings JF member and our guests...
Leo napenda niachane na siasa za vyama ili nijaribu ku-share experience na elimu ya ndoa hasa kwa wanawake walioko kwenye mahusiano ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye mahusiano ya namna hii.
Ndoa nyingi ziko kwenye migogoro inayotokana na wanandoa hasa hasa wanawake kutoridhishwa na performance za wenzi wao. Kwa kutojitambua, wanawake wengi hulalamikia waume na wapenzi wao kutofikishwa kileleni kipindi cha tendo la ndoa. Ni vema sasa nianze na makosa makubwa yanayofanywa na mwanamke anapokuwa katika tendo la ndoa na kujisababishia kshindwa kufikia mshindo wake
1. Wanawake wengi hufanya mapenzi bila kuwa na mawasiliano na mme au mpenzi wake kwenye tendo la ndoa. Mfano, wanawake wengi hufanya tendo la ndoa wakiwa kimya au wakilalamika kwa sababu ya hisia kali za mapenzi (yaani utamu) na kushindwa kutoa mwelekeo au stage aliyofikia kuelekea mshindo wake. Hivyo mwanaume huendelea na tendo kwa dira au kukadilia stage ya mwanamke kutokana na kelele zake za kupata utamu. kwa mwanaume anayekutana na mwanamke wa namna hii, mara nyingi ata-miss timing ya kufika ubungo wakiwa wote. Hili ni kosa la mwanamke.
2. Mwanamke kushindwa ku-control process nzima. Mwanamke hufananishwa na conductor wa gari la abiria anapokuwa kwenye tendo la ndoa. Hii ina maana kwamba, mwanamke lazima aseme anachotaka na kwa stage ipi ya tendo.Conductor wa gari la abiria ndie huruhusu gari kuondoka, husema hiki au kile kwa dereva na dereva hutii na biashara barabarani huenda vizuri sana. Hivo hivo mwanamke hatakiwi kujiondoa ufaham na kuwa mkimya ,ni muhim aseme nishike sehemu fulani, tugeuke hivi, fanya hiki au kile, nimechoka au tuendelee, nimefika mshindo au hapana nk. Wanawake wengi, ni wakimya na hua-assume mwanaume anafama analolihitaji mwanamke kwa wakati huo.Hali hii humfanya mwanamme kufanya faulo nyingi tu na pengine kumfanya mwanamke kufanya tendo la ndoa akiwa ameghaili tayari
3. Wanawake wengi hufanya mlinganisho (comparison) kwa