Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Habari,
Hope Mpo Poa!!..kuna kitu nimeshajiuliza sana na sio peke angu tu lakini still sijapata majibu!!..kwanini lakini?!, natumaini sisi wanawake kuna mengi tunayovutiwa nayo kutoka kwa mwanaume mpaka kufikia hatua ya kujikuta kwenye dimbwi zito la mahaba nae!!,wanaume wapo wengi na wa aina mbalimbali lakini wote ni wanaume.
hapa naongelea wale wenye cute face!!,wenye mvuto wa mwili na kila kitu mpaka wanajijua wenyewe!!.yaani kwa kifupi ma H.B hadi ongea yao inabadilikaga,usharo~uharo nawashangaa sana mara nying unakuta wanapendwa na wasichana wengi hadi wamama watu wazima!!.tatizo lao kubwa HAWAWEZI KUTULIA KWENYE MAHUSIANO!!.why?!.yaani ni ma~playboy wa kufa mtu!!.wanajiona usiseme!!.kinachowapa kiburi ni muonekano wenu au nini labda?!.
yaani kuliko kudate na mtu wa hivi,full headache ni bora uwe single au uwe na anaeonekana wa kawaida machoni pa wengine as long as true love ipo!!..badilikeni jaman!! mwanaume hasifiwi sura anasifiwa pesa!!
make More Money mengne baadae!!
ni mtazamo tu!!
tchaooo..!!.