Nina rafiki yang 1 alikuwa na mpenzi wake alidumu naye takriban miaka 2, jamaa alimpenda sana demu udhaif alioutumia demu kumnyanyasa jamaa kimapenz kwa kuwa na mchepuko, jmaa aliteseka sana na...
Kwa kweli nimechoka kuonga ndio nipendwe sasa nimeona nisake jimama la nguvu lenye fedha. Si kila Mara kunapokucha pochi yangu inapukutisha tu. Jimama hilo lisiwe name majivuno. Lianzie miaka 45...
Za usiku wapenzi!!.
...eeeeh!!.umekuja fasta unadhani namsema mme wangu Arovera !! akhaaa...tunapeta tu.
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari tv1 jioni hii pia nilipata ugeni ivo sikuwa...
Anaomba ushauri , iko hivi
Ni bint wa miaka 27 hajaolewa kutoka na mazingira ya kijijin kwao mama yake ikawa inamuuma sana bint yake kwanini haolewi japo bint alikua haishi nyumban hapo alikua...
Habari za muda huu,
Najua wengi mmelala lakini mkiamka mnipe mawazo ya kumshauri rafiki yangu kwani anadai mpaka muda huu hajalala hata usingizi umeruka kisa mkewe pale kwake kaja mgeni ni wifi...
Naandika huu uzi nikiwa kwenye uzuni na upweke mkubwa sana!!..sina raha nahisi maumivu makali moyoni mwangu yasiyoelezeka!!.
Arovera mpenzi wangu... unasafiri unaenda mbali,unaniacha peke angu...
Inawezekana kuna tabia ambazo unazo lakini unatamani kuziacha lakini zinakushinda
Inawezekana kuna mambo ambayo unayafanya na unasikia watu wanasema kuwa hayafai lakini unayaona kuwa yanafaa...
Ukiacha yale makabila yanayofanya jando na unyago kwa ajili ya kutimiza mila na desturi, yapo ambayo unyagoni mabinti hufundishwa kwa ufasaha kabisa namna ya kuzungurusha nyonga yake ili...
"Nimekuchoka,sikutaki,sikupendi na ninakuchukia na tuachane ila niambie na wewe kama nilivokuambia mimi kila mmoja achukue zake" huo ni mwisho wa kunukuu.
Hayo ndo maneno nimeambiwa hata...
Mimi ni msichana mwenye miaka 23 najishughulisha na biashara ndogondogo natafuta rafiki wa karibu wa kiume baadae mungu akipenda aje kuwa mume wangu
Sifa
*Awe ana umri kuanzia miaka 25...
Unakuta msichana/mwanamke anajifanya mjanja sana na muongeaji sana lakini outing bill analipa mwanaume, huo ni mfumo dume la sivyo basi tu share hizo bill za Nyumba outing na matumizi, sijawahi...
Ndugu zangu kati ya wanandoa katika jamii inaonekana ndiye mwenye haki na sahihi kwenye mahusiano ya nje?
Lakini ikitoke kwa mwanamke inaonekana ni kitendo kichafu na mtu huyu aonakana hafai na...
SIFA MUHIMU ZA KUZINGATIA UTAFUTAPO
MTU WA KUISHI NAYE
MARA nyingi vijana hupata taabu sana katika
suala la kuchagua mchumba. Vijana wa kiume
ndio hasa hupata wakati mgumu zaidi kwani...
Samahani sana waungwana nipo hapa kwa ajili ya kumtafta jamaa moja ambaye simfahamu lkn katika pitapita zangu juzi nikiwa kwenye gari nilikuta bahasha yenye ACADEMIC CERTIFICATE ambayo ilikua na...
Hivi kweli jamani wivu ni dalili na alama ya upendo?. Au wivu ni ulimbukeni wa mapenzi?.Ama kunaaina za wivu?.Naombeni majibu ya kina katika haya, maana mara nasikia mtu kamuua mpenzi wake kisa...