Miaka 4 alininyima tunda..sasa nimeoa mwingine ukoo wote umenichukia

0021

Senior Member
Oct 24, 2012
160
60
Ndugu wapendwa waJF.

Nilikuwa na msichana niliyeanzisha uhusiano naye tangu 2009-2013.

Kwa mda wote huo alininyima uroda akidai hadi tufunge ndoa mwaka 2015 kwa kuwa bado anajipanga kimaisha ,na masomo alisha maliza 2012.

Nilimvumilia huku nikichepuka kujipoza hapa na pale....lakini ikawa too much.

Mwaka jana nikamwambia 2013 ndo mwisho wangu wa kusubri la sivyo naoa mwingine...alipaniki sana na kusema nimvumilie kidogo.

Mwaka jana gafla akashtukia nimeoa bila kumwambia..Sasa kimbembe kimehamia kwenye famili yao..alimweleza mama yake kila kitu kuhusu mahusiano yetu..

Mama yake sasa ananichukia kupita hali ya kawaida kiasi kwamba ananitishia maisha yangu na mke wangu.

wadau naombeni ushauri wenu mimi ninakosa gani...pia nahofia usalama wa mke wangu na ndo kwanza amejifungua mtoto.....
 
mmh, pole ngumu kumeza coz hata mi nilishindwa subiri nikasepa kumbe mtu ikamuuma
 
Ngoja nikupe true experience, ana machungu makubwa anaweza kutamka chochote kujipoza ingawa pia anaweza act chochote inategemea na uharibifu wa moyo wake aloupata baada ya wewe kuoa, so kwa kuanzia anza kukip evidence ya viashirio vya kuwafanyia fujo kama vipo like sms, uvamizi wa nyumbani kwenu kama atakuja ili vikizid uriport with evidence polisi, ila maumivu yakipungua wataacha kukusumbua so be patient.

Muelezo mkeo stori yote ila hapa umek sure unauhakika umecut communication sio kupasha viporo ili mkeo awe upande wako awe na amani na ndoa yake changa na mtoto mdogo changamoto kwelikweli
 
Kama unafanya kazi kwa huyo mama mkwe wako wa zamani lazima akili ikae sawa!

Vinginevyo, waogopa nini? Au yupo kwenye system ya wang'oa kucha?
 
Usijilaumu kwa lolote we songesha mbele maisha yako. Mtu wa kudhuru hachimbi mkwala
 
0021
Neno MOJA NISEME


HONGERA KWA KUOA ILA

KAMA UNAWASILIANA NAE MWAMBIE WAKATI WA BWANA UKIFIKA WATAMHESHIMU WANAOMNANGA

KINGINE NISEME KUOA KWAKE KULIPANGWA NA MUNGU NA KUMWACHA HURU YULE DADANAYO NI MIPANGOYA MUNGU ALIJUA MKIWA WOTE MNGEISHI NDOA ZAKUVUMILIANA AMBAZO ZIMEUA WAZEE WENGISANA NA MASHINIKIZO YA DAMU

UAMUZI MGUMU NI MUHIMU KWENYE MAHUSIANO HONGERA KWA UAMUZI MGUMU

NISLIMIE SANA UKIMWONA MWAMBIE MKUU BY SHINE BADO ANATaFFUTA TAFUTA ANAWEZAKUWA MUMEBORA KWAKE

NMMAANISHA MRUSHIE PANDE LA KISIGINO
 
Ndugu wapendwa waJF.nilikuwa na msichana niliyeanzisha uhusiano naye tangu 2009-2013.Kwa mda wote huo alininyima uroda akidai hadi tufunge ndoa mwaka 2015 kwa kuwa bado anajipanga kimaisha ,na masomo alisha maliza 2012.Nilimvumilia huku nikichepuka kujipoza hapa na pale....lakini ikawa too much. Mwaka jana nikamwambia 2013 ndo mwisho wangu wa kusubri la sivyo naoa mwingine...alipaniki sana na kusema nimvumilie kidogo.Mwaka jana gafla akashtukia nimeoa bila kumwambia..Sasa kimbembe kimehamia kwenye famili yao..alimweleza mama yake kila kitu kuhusu mahusiano yetu..Mama yake sasa ananichukia kupita hali ya kawaida kiasi kwamba ananitishia maisha yangu na mke wangu.wadau naombeni ushauri wenu mimi ninakosa gani...pia nahofia usalama wa mke wangu na ndo kwanza amejifungua mtoto.....

Wewe hufai, na yeye aligundua una wengine ndo maana akaendelea kukunyima tunda, aliona hapo hujamuoa unachepuka je ukionja na ukamsaliti angeumia zaidi. Ungeleta hii kesi JF kabla hujaanza michepuko ilikuwa bora zaidi.

Kosa lako ushamharibia huyo binti miaka minne anakataa wachumba ndo maana mama yake kakukasirikia huenda walimkataa mwanaume bora kuliko wewe na halafu umemsaliti
 
Back
Top Bottom