Ndoa Pasipo Kumuona Mkeo. My true love life story

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Messages
1,608
Points
1,500

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2007
1,608 1,500
Jee unaweza kuoa mke pasipo kumuona? Waungwana mimi natauliza ni wanaume wangapi mnaweza kuoa pacage, yaani mke yupo Dar na wewe upo ng'ambo?
 

a.9784

Senior Member
Joined
Feb 19, 2008
Messages
146
Points
0

a.9784

Senior Member
Joined Feb 19, 2008
146 0
Labda hili nikusaidie kulijibu kwa misingi ya kitanzania ninayoijua mimi.Ndoa ni makubaliano ya watu wawili wenye jinsia tofauti na pande zote zinaridhia kwa hiari makubaliano hayo ya kua mume na mke.Sasa ndg yetu ulioko huko ughaibuni,kama umekwisha kubaliana na huyo mwanamke kabla ya kufunga ndoa na mkaridhiana na siku ya ndoa haukuweza kuhudhuria misa ukawakilishwa na mdogo wako then marriage can exist under this circumstances.

Sasa sielewi wewe uko upande upi,au humuoni kwa misingi ipi?Hujawahi kuchungulia mlango hata siku moja?
 

Forum statistics

Threads 1,381,069
Members 525,964
Posts 33,787,506
Top