Wewe mwanaume, mwanamke siyo ndugu yako!

Wewe mwanaume, mwanamke siyo ndugu yako!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,675
.Habari wana MMU,.

Hatimaye nimeamini maneno ya wahenga kwamba ''mwanamke siyo ndugu yako''

Ndiyo maana haumii pale unapopatwa na maswahibu na mara nyingine anakuumiza katika mahusiano bila kujua maumivu utakayoyapata.

Kama kuna anayebisha akapime DNA kuhakikisha!!
 
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaa hata cc wanawake wanaume co ndugu zetu
 
.Habari wana MMU,.

Hatimaye nimeamini maneno ya wahenga kwamba ''mwanamke siyo ndugu yako''

Ndiyo maana haumii pale unapopatwa na maswahibu na mara nyingine anakuumiza katika mahusiano bila kujua maumivu utakayoyapata.

Kama kuna anayebisha akapime DNA kuhakikisha!!

Kwani ili mtu awe ndugu anahitakika awe na sifa gani?

Halafu mbona wanaume kibao tu tunawaumiza wanawake kila uchao ndugu?

Kama umetendwa huko na unataka kuja kumalizia hasira zako JF pole sana
Jifunze kujipoza tu ndugu yangu kwani ukiletewa ambao wametendwa hapa ni wengi sana na wala hujatendewa kitu kipya

Jikaze kisabuni tu ndugu yangu!
 
mtoto/watoto ndio wanaowanganisha mwanamke na mwanaume. lakini hakuna undugu baina yenu.
 
Ukiwa mjanja kuchapiwa siri ya ndani
 
Mwanamke sio ndg yako ila ni ntu wako wa karibu.
Acha kuhangaika kwaajili ya mwanamke.
Nawashangaa hata wanao wasomesha wanawake
 
Back
Top Bottom