Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,832
Hivi umewahi kujiuliza , ni jambo gani ulilomfanyia mpenzi wako nae angalau akajihisi anathaminiwa?
Hata sex kujiongeza huwezi , ni kama nguo inayosubiri kupasiwa vile...eti 'hujanifikisha'..yaani...mizigo yote niibebe mimi..we kazi yako kunibip(credit nimetuma) na kunitumia mi-msg yako hiyo!
Mnakera sana nyie wenye hizi tabia!
Mwanaume nae anahitaji zaidi ya sex toka kwako!
Mwanamke kama huyu akiachwa kuna kulaumiwa hapa wadau?