Ndan ya box
Senior Member
- Jun 2, 2014
- 159
- 44
Jamani ninatukanwa matusi mfululizo tangia wiki 3 zilizopita,aisee hata kama matusi mengine utayapuuza lakini haya yamezidi,ni kati ya mmoja wa ma x wangu huyu hataki kukubali kuwa mm si wake tena !!!!!
Jamani huyu anapajua nyumbani kwa wazazi wangu ameenda zaidi ya mara 3 yeye anatukana tu ndugu zangu jamani nieleweke sijawahi kuchukua kitu chake,wala pesa yake nmemuomba basi kama ananidai nimlipe anaiache na maisha yang,hivi sasa ananitisha anakuja kumpiga huzband risasi.
Jaman mkaka kabadilika kabisa sura ya simba haaa huyu mchaga jaman atafanya kweli nahisi,jamani naombeni ushauri nimfanyaje mtu huyu nakosa amani sasa.