Sio vibaya kujua hili baada ya tendo la ndoa

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,441
Reaction score
38,432
Habari zenu!

Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau tendo hili muhimu baada ya kufika kileleni.

Umuhimu wa tendo hili ni kupunguza na kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo(U.T.I) na magonjwa ya zinaa(S.T.I)

Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo makubwa.

Kwa wanaotumia kondomu pia unashauriwa kufanya hivo endapo itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi na sabuni.

kwa wanaofanya mapenzi ya mdomo(chumvini na kulamba kone) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke/ume na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukimwi na hepatitis B.
 
Na pia inashauriwa kuwa, mwanaume awe juu halafu mke awe chini wakati wa sex na si vinginevyo..

Hii itaondoa uwezekano wa maambukizi ya STD's, kumbuka hapa ni wakati mkiwa mna sex kwa kondom.

Kama ni condomless, basi mitindo yote ya ngono inaruhusiwa tu!
 
Habari zenu!

Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau tendo hili muhimu baada ya kufika kileleni.

Umuhimu wa tendo hili ni kupunguza na kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo(U.T.I) na magonjwa ya zinaa(S.T.I)

Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo makubwa.

Kwa wanaotumia kondomu pia unashauriwa kufanya hivo endapo itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi na sabuni.

kwa wanaofanya mapenzi ya mdomo(chumvini na kulamba kone) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke/ume na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukimwi na hepatitis B.

Kufanya Mapenzi Hakuna Formula Na Nijuavyo Kufanya Mapenzi Ni Zig Zag Style Mithili Ya Wachezaji Wa Kiungo Cha Juu Na Cha Chini Wanavyochezesha Timu Na Kunyumbulika Pale Katikati Ya Uwanja. Na Ndiyo Nyie Nyie Mnaojifanya Mnakuwa Diplomat ktk KUGEGEDANA Mnao GEGEDEWA Wake Na Mademu Zenu Na Kwa Pumba Hizi Mnastahili MGEGEDEWE......!!!!!!
 
asante kwa somo wape ushauri na wale wanapenda 0713 wawe wanafanyaje?
 
Habari zenu!

Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau tendo hili muhimu baada ya kufika kileleni.

Umuhimu wa tendo hili ni kupunguza na kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo(U.T.I) na magonjwa ya zinaa(S.T.I)

Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo makubwa.

Kwa wanaotumia kondomu pia unashauriwa kufanya hivo endapo itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi na sabuni.

kwa wanaofanya mapenzi ya mdomo(chumvini na kulamba kone) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke/ume na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukimwi na hepatitis B.

Ukifuatilia kila kinachosemekana kina madhara utagundua yafuatayo;
1.Kuzaliwa kuna madhara.
2.Kula nyama choma,wali,ugali na maini kuna madhara katika mwili wako.
3.Kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mume/mke wako kuna madhara makubwa sana.
4.Kupanda magari,meli,ndege,piki piki kuna madhara ya kupata ajali.

In short kila kinachotokea ama kufanyika hapa duniani kina madhara.
 
Back
Top Bottom