Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
Wajameni mambo yanabadilika kila kukicha Technologia ya uvaaji nguo inakua kwa kasi sana siku hizi duniani, ukijaribu kuangalia miaka ya 70, 80,90 na sasa naamini utakubaliana na mimi kuwa ndani ya kila miaka kumi mabadiliko yanakuwepo makubwa sana.
Tatizo linakuja kuwa mavazi ya akina mama ndo yakuja kwa FASHENI mpya kila kukicha mbaya zaidi kila improvement inayokuja kwenye inaendelea kuwapelekea kuwa UCHI.
Kwa upande wa akina baba maboresho yapo lakini kwa kiasi fulani haiwaachi uch** sana ukiachilia mbali style ya Kata-K.
Kwa sasa Skin Jeans ndo habari ya mjini kila kona, tumeacha underwear zile ndefu kama sketi, tukaja na skin tight iliyokuwa ikivaliwa ndania gauni au suruali, sasa mchepuko wa kileo ni Skin Jeans ambayo huvaliwa nje nje..... Tena zingine inabidi usivae chu**p maana huweza kuakisi hata rangi yake kwa jinsi ilivyobana mwili.
Sasa wadau swalia langu ni tunaelekea wapi na hii teknologia MPYA ya uvaaaji, WHERE ARE WE HEADING TO?