Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za saa hizi wanajukwaa wa MMU, Hivi kuna uwezekano mwanaume mwenye umri ulozidi miaka 30 awe hajawahi kupenda?Kwa uelewa wangu hata yale mapenzi ya utotoni ni mapenzi pia ijapokuwa...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Habarini mabest Awali ya yote namshukuru Mungu kuniweka hadi hii leo , navuta hewa safi, niko ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuiona siku hii wako wengine hawajaiona sembuse mm ambaye Mungu...
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Shost mmoja anabwanaake ana miaka nae saba kwenye mahusiano, cha ajabu kila akiingizia habari za kuoana uyo mwanaume anachenga kibaya zaid mwanaume yupo mkoa mwingne na mwanamke yupo mkoa mwingne...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Mara hii nakuja na swali kwa dada zangu mnisaidie:- hivi huwa mnajisikiaje pale ambapo mpenzi/mumeo wako anapokuwa anakusifia sana kila wakati au kila siku na hata mara mbili au zaidi...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Nina miaka 28, mrefu kiasi, mkristo, mweupe kiasi, mjasiliamali, naishi mkuranga, elimu form six. Naemtafuta awe maeneo ya dar na pwani, namba yangu ni 0719450426.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salam aleykum wanajamvi. Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kujiingizia kipato. Juzi nikiwa ofisini nilifuatwa na shemeji yangu ambaye ameolewa na mdogo wangu wiki...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Wana JF Wanaume asilimia 90 hupenda Mara moja tu yaliyobaki nimazoea au hawataki kujionyesha kuwa wanaendekeza kupenda na kutamani kila Mara, kuhakikisha kuwa nikweli , mwanaume kuwa naye kila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 28 nilikutana na mkaka fulan miaka miwili hiv iliyopita,, tukawa tumeingia ktk mahusiano but at that tym yule mkaka alikua amedivorce na wife wke ambae...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
I share mine! In 2011 I quit University when I was in my junior year. I did so because of reasons I couldn’t control. I felt very bad about what happened and I spent most of my time asking...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Umeishi nyumbani kwenu kwa miaka lukuki, yaani ukiwa na miaka 32 nd'o ukaondoka nyumbani, sio kwamba ukaanza kujitegemea hapana ukaajiriwa na mjomba ukawa unaishi kwake. Mama nyumbani akapumua...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Mods naomba msiunganishe uzi huu na wa mkuu Eiyer. Mwanaume ametoka kwenye familia masikini na mwanamke vilevile, mwanaume ameangaika akajenga nyumba kubwa tu, akafungua vitega uchumi na magari...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
MBUNGE wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF) amesema wanawake wameadhibiwa na Mungu katika maandiko matakatifu na kuhoji hawaoni kuwa harakati zao za kudai haki sawa, ikiwemo uwakilishi wa asilimia 50...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamaa yangu huyu ni mtundu sana toka tunasoma sekondari. Juzi hapa amezua balaa nyumbani kwake na hana amani hadi leo hivi. Kisa chenyewe ni hivi: Jamaa yangu anaishi nyumba ya kupanga, self...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wapendwa nepatashefa kutoka nchi za jirani ana malove makubwa na anataka tuwepamoja ilaana watoto ambao amezaa na wanawake tofauti na wa mwisho wame devorce though huwa anawapeleka watu kwa huyo...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
mara nyingi tumekuwa tunaachana lakini hatuambiani ni kwann tumeachana mda mwingine c sababu za msingi pengine tunaweza kujufuza kutokana na makosa hayo hebu tuambiane
0 Reactions
138 Replies
10K Views
Jpili shwari wadau?Wataalaamu wanatuambia ukicheka au hata ukitabasamu kidogo tu kwa siku inasaidia kuongeza uhai....Hivyo nimeonelea wadau wezangu niwape kadozi kadogo kaa hii dawa ili nawe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna jamaa kaniambia sio mazoea mazuri kuwa na passwords katika simu ya mkononi,kaniachia hapo!nijuavyo mimi kila mtu ana faragha yake kwa hivo ni muhimu kuwa na password.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ama hakika kupenda ni jambo ambalo huleta msukumo za hisia fulani ndani ya moyo wa mtu. Leo asubuhi katika pitapita zangu nilikutana na wakinadada wawili mmoja akaniambia umependeza sana, sikuweza...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika mambo ambayo Mwanaume kajaaliwa ni vile kuwa na uwezo wa kumshawishi mwanamke hadi akakubali kusaula kila alicho kivaa na kubaki mtupu!hata kama msichana ana aibu au ana cheo kikubwaaa...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
  • Closed
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooo! Free P nao mda mwingine wanakuwa keroooo mno mno sehemu za starehe! Jana kuna shosti wangu mke wa mtu kanialika tuyasindikize ya dunia maana leo...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…