Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Alikuwa akisafiri kwenye barabara kuu akiwa juu ya pikipiki yake. Alikuwa akiendesha kwa wastani wa kilimeta 65 kwa saa. Jambo lenyewe lilitokea ghafla sana. Aligeuka kutazama pembeni mwa barabara...
14 Reactions
41 Replies
5K Views
Wapendwa wana MMU, Kwanza poleni na Majukumu yenu mazito ya kila siku, na pia Hongereni kwa kudumisha upendo hapa jukwaani. Mungu azidi kuwapa nguvu na kuzidi kupendana zaidi katika shida na raha...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Huwa najiuliza hivi huyu mwanamke aliyeshindwa na ndoa yake, Yaani ameshindwa kuwa mvumilivu ndani ya mahusiano yake anawezaje kushiriki kumfunda mwanamke mwenzake anayetarajiwa kuolewa? Au...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Wajameni hii imekaaje mtu ana mke na anakua na kamchepuko bt hana wivu na mchepuko kabisa anamruhusu kuwa na mpenzi wake bt anataka amjue na awe mmoja tu.Je hapo kuna mapenzi kweli
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa kwenye ndoa kwa takiriban miaka 5 sasa. kwa bahati mbaya nilimfahamu X wa mzazi mwezangu. kipindi fulani akawa na mawasiliano na huyu X wake yaani kupigiana simu. nikawa niliweza kumpiga...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari za jion na poleni na swaumu!kuna suala linaonekana la kawaida ila kiukweli lina utata na ugumu wake pia,jinsi gani ya kuishi na mke ndani wengi tunatumia tu mazoea na hatimae mahusiano...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mpendwa. 2Unibusu kwa busu la kinywa chako, kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai. 3Manukato yako yananukia vizuri, jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa. Ndiyo sababu wanawali...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Dah! Hii vita ni ngumu. Nimejitutumu kuianzisha nikijua silaha zangu chache ila nikawa mbishi. Nikafanikiwa kumpata mateka mmoja ambaye maadui hawaishi kutuvamia kutaka kumchukua. Wana silaha kali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kimsingi mapenzi ya siku hizi risk nyingi i.e kugombana, kunyimwa unyumba, kuachana muda wowote. ili kujiweka mbali na stress, matatizo kama haya yasikudhuru. MCHEPUKO NDIO solution, MICHEPUKO NI...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
WAKU HABARI ZA SAHIZI.NAZANI WOTE MNAENDELEA VIZURI NA RAMADHANI KWA WALE WALIOFUNGA.WAKUU LEO MKUSHI KUNA JAMBO LINANITATIZA NIKAONA NI PATE USHAURI KIDOGO KUTOKA KWENU NIKICHANGANYA NA WAKWANGU...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Usiri ni kitu hatari sana ktk Mahusiano! Usiri uliopitiliza ktk mahusiano ni sumu mbaya sana, huwa inasubiri siku na wakati tu, ili iweze kusambaa na kuuwa ikibidi. Kama una kitu moyoni, na...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habarani marafiki wote Nimeleta mada hii hapa tujadili kwa pamoja na sio kujoke Kati ya Baba na Mama nani ni muanzilishi wa kumharibu mtoto kimaadili na kumfanya mtoto awe mento na kudata...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mi ndio MCHUNGUZI HURU, nafanya chunguzi nikiwa huru kimawazo... ukikubali chukua, hutaki unaacha. I DARE TO POST THREAD OPENLY... Mwanaume akishafanya sex na mwanamke akawa hajisikii kuendelea...
3 Reactions
74 Replies
10K Views
Mahusiano mengi huvunjika kutokana na mambo haya..................... 1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na maana...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Turejee kunako sita kwa sita!! Huu msemo Wa baadhi ya wenzetu humu jamvini au mtaani mwetu mtu kusema mwandani/ mpenzi wangu anajiweza sana tukiwa faragha; Hivi kinachofanya mtu asemwe...
4 Reactions
54 Replies
11K Views
Mdanganye mwanamke na utaona jinsi atakapoyafanya maisha yako kuwa magumu zaidi ya jehanamu hapa duniani 1. Usimpige 2. Usimpe maneno ya kumnyanyasa 3. Usimfanye aone kudharauliwa 4...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Mara nyingi faraja ya mwanaume ni kupata mwanamke alietulia katika mahusiano, inapotokea bahati mbaya akapata ambae yuko kinyume na hivyo basi huwa anatafuta njia ya kujikinga na maumivu ya...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Jamani m naitwa lameck paul nina umri wa miaka 19 na mwanafunzi wa kidato cha tano..natafuta mchumba mwenye umri wa miaka 18 hadi 17 ambaye maji ya kunde even black can be considered..ambae atakua...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nilikuwa nimekula pozi katika viunga vya Ccoco Beach...... Mimi ni suriama wa makabila matatu, yaani Mmasai, Mpare na Mnyamwezi, mnaweza kushangaa lakini nitawafafanulieni. Baba yangu anatokana...
22 Reactions
54 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…