Wanawake walioshindwa na ndoa Kushiriki Kitchen Party

Wanawake walioshindwa na ndoa Kushiriki Kitchen Party

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,939
Huwa najiuliza hivi huyu mwanamke aliyeshindwa na ndoa yake, Yaani ameshindwa kuwa mvumilivu ndani ya mahusiano yake anawezaje kushiriki kumfunda mwanamke mwenzake anayetarajiwa kuolewa?

Au anaenda kwenye hizo kitchen part kuonyeshana jinsi ya kukata mauno na michepuko au??

Najiulizaga huwa nashindwa Pata majibu

Samahani kwa yeyote atakaye kwazika.
 
kitchen party wanawake wanachangiana vyombo tu hakuna lolote la maana. ni ujinga mtupu.
 
hata mimi huwa nashindwa kuelewa
 
kitchen party wanawake wanachangiana vyombo tu hakuna lolote la maana. ni ujinga mtupu.

kuchangiwa vyombo ni ujinga shemej??? usisababisha tukaisusa kitchen party ya lara 1
 
Last edited by a moderator:
fata maneno yangu usifate vitendo vyangu. kwanza unajuaje kama hao walioshindwa ndoa chanzo kikuu ilikuwa ni kwa wanaume!!!??
 
Huwa najiuliza hivi huyu mwanamke aliyeshindwa na ndoa yake, Yaani ameshindwa kuwa mvumilivu ndani ya mahusiano yake anawezaje kushiriki kumfunda mwanamke mwenzake anayetarajiwa kuolewa?

.

ndo yaleyaleeeee.... do as I say, not as I do.
 
Huwa najiuliza hivi huyu mwanamke aliyeshindwa na ndoa yake, Yaani ameshindwa kuwa mvumilivu ndani ya mahusiano yake anawezaje kushiriki kumfunda mwanamke mwenzake anayetarajiwa kuolewa?

Au anaenda kwenye hizo kitchen part kuonyeshana jinsi ya kukata mauno na michepuko au??

Najiulizaga huwa nashindwa Pata majibu

Samahani kwa yeyote atakaye kwazika.
Una utani na Mch. Dr. Mhe. na Enterprenuer G. Rwakatare anayehubiri maadili ya ndoa wakati yake ilimshinda.
 
Mimi mke wangu hataenda kifanyiwa hiyo Kitchen party
 
Naamini shule ya siku moja ya kichen party haiwezi kumbadili mtu wa hovyo awe mwema
 
kuchangiwa vyombo ni ujinga shemej??? usisababisha tukaisusa kitchen party ya lara 1

nafuta kauli labda nimeshindwa kuwakilisha mtazamo wangu ulivyo kuhusu kitchen party.

am sorry kwa niaba ya Lara 1 kama nimewakwaza.
 
Last edited by a moderator:
ndo yaleyaleeeee.... do as I say, not as I do.

Nishawishi yaani wewe yamekushinda halafu utaniambia mbinu gani ya kuishi na mwanaume... Utaniambia yale yakusoma kwenye vitabu au utanifundisha nini.....

Tuache masiahara bado najiuliza wewe mwanamke ambaye ndoa yako ilikushinda utamfundisha nini mwanamke mwenzako anayetarajia kuingia kwenye ndoa ..Utamfundisha kuwa yakikushinda toka au nenda kajaribu au utamfundisha nini???
 
Hebu tupe kiwango cha uvumilivu kwanza
Watu wabishi yaani hata hili unataka takwimu.. Hizi shule za kukariri ni shida...Nakuuliza tena wewe mwanamke ambaye umeshindwa kuishi ndani ya ndoa yako utawezaje kumshauri mwanamke mwenzio juu ya maisha ya ndoa wakati haupo.

Au kwa vile wanawake hampendani basi unaenda kumfundisha kuchepuka na kuwa na mafiga matatu??
 
Life does not come to an end just because am no longer married.

I will continue to mingle and party, and socializeas I deem fit.

Hivi mfano mtoto wa ndugu yangu ama mtoto wangu mwenyewe anaolewa... nisishiriki Ktchen Party just because I am single? Beats sense!! There is no connection whatsoever.

Tunakoelekea nahii mindset basi wanawake single watakuwa hawatembei hata barabarani licha ya kuhudhuria harusi. Na wakipita basi they will be stoned.

SMDH!
 
My observation ,Kitchen party sikuhizi ni kununuliana vyombo ,meeting ur long time friends na having a lil fun,bila kusahau kushona sare ya kitenge
..kama kweli unataka mafundisho sio pale ukumbini unatafta somo anakufundisha nyumbani hata wiki hivi then basi uendelee na maisha yako,
 
ndo yaleyaleeeee.... do as I say, not as I do.

It doesnt make sense, if you could not do it, where do you get the guts to ask me to do it?

If someone has had 10 business and all over them died at some point, how can he teach you business management, I mean if his knowledge could not save his business, how sure are you that it will save yours?
 
Umenikwaza sana... Bahati nzuri umeomba msamaha kwanza. Nimekusamehe!!!

Nisamehe tena mpenzi wangu...Wanted to know mpendwa wangu..Mungu akubariki..Hivi ni sahihi mtu ambaye hajaolewa kushiriki kwenye kumfunda mwanamke ambaye anataka kuolewa??

Sorry Baby wangu. Charminglady
 
Back
Top Bottom