Moyibi
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,054
- 704
Mahusiano mengi huvunjika
kutokana na mambo
haya.....................
1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na
mwenzi wako.
2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako.
3. Ubishi usiokuwa na maana.
4. Kupenda kujihesabia haki.
5. Kutokubali makosa.
6. Kutokuwa na roho ya msamaha.
7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako.
8. Usaliti wa mapenzi.
9. Kuigiza kupenda.
10. Kutomheshimu mwenzi wako.
11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua.
12. Kutokutambua uthamani wa mwenzi
wako katika maisha yako.
13. Kuwa na jeuri.
14. Kutokuwa na kifua cha kuficha mambo
ya nyumbani. [chumbani]
15. Kuto kujali watu wa nyumbani kwako
[ndugu,watoto n.k]
16. Kujiamulia kufanya vitu bila ushauri wa
pamoja.
17. Kutokuwa na faraja na mwenzi wako
[kutokujua jinsi ya kumfariji mwenzi wako]
18. Kutomridhisha mwenzi wako kimapenzi.
19. Kuwa na amri kwa mwenzi wako hata
kwa mambo yasiyokuwa na maana au
malengo katika maisha yenu.
20. Ugomvi wa muda mrefu usiokuwa na
suluhu.
21. Kuwa na ahadi za uongo.
22. Kumdhalilisha mwenzi wako mbele za
watu.
23. Kupenda starehe kuliko kuujenga
uhusiano wa kudumu [love]
24. Uchafu kutojipenda na kupenda
mazingira yako.
25. Maudhi ya mara kwa mara.
26. Kutoonyesha hisia kali hisia kali za
mapenzi kwa mwenzi wako.
27. Kutokuwa karibu na mpenzi wako mara
anapokuwa katika msongo wa mawazo.
28. Kutokuwa mbunifu wa maisha mapenzi.
29. Kutokuwa na msimamo katika maamuzi
yako [kutoendeshwa na watu]
30. Kutokuwa na muda na mwenzi wako.
31. Kutokuwa na shukrani.
32. Kutokujua gharama za upendo.
33. Kuwa na wivu wa kijinga.
34. Kuwa mbinafsi.
35. Kujifanya kuwa [busy] na kushindwa
kumtunza na kumjali mwenzi wako
36. Kutokuwa na imani juu ya mwenzi
wako.
37. Kutokubaliana na hali halisi ya maisha
yenu.
38. Kutokukubali kujifunza.
39. Kutokutambua maana ya mapenzi na
umuhimu wake.
Tabia hizo ndizo zinasababisha mahusiano
ya watu wengi kuvunjika, hata ndoa
kuharibika maana huyu mtu unayemfanyia
hivi ipo siku atachoka, maana hana moyo
wa jiwe bali ana moyo wa nyama.
Kuvumilia nako kunamwisho wake, hizo
tabia ndizo zimechangia maumivu, vidonda
vya mapenzi, vifo vya watu wengi na
kuwafanya watu wengine kuchukia
kupenda na kupendwa katika maisha yao.
kutokana na mambo
haya.....................
1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na
mwenzi wako.
2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako.
3. Ubishi usiokuwa na maana.
4. Kupenda kujihesabia haki.
5. Kutokubali makosa.
6. Kutokuwa na roho ya msamaha.
7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako.
8. Usaliti wa mapenzi.
9. Kuigiza kupenda.
10. Kutomheshimu mwenzi wako.
11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua.
12. Kutokutambua uthamani wa mwenzi
wako katika maisha yako.
13. Kuwa na jeuri.
14. Kutokuwa na kifua cha kuficha mambo
ya nyumbani. [chumbani]
15. Kuto kujali watu wa nyumbani kwako
[ndugu,watoto n.k]
16. Kujiamulia kufanya vitu bila ushauri wa
pamoja.
17. Kutokuwa na faraja na mwenzi wako
[kutokujua jinsi ya kumfariji mwenzi wako]
18. Kutomridhisha mwenzi wako kimapenzi.
19. Kuwa na amri kwa mwenzi wako hata
kwa mambo yasiyokuwa na maana au
malengo katika maisha yenu.
20. Ugomvi wa muda mrefu usiokuwa na
suluhu.
21. Kuwa na ahadi za uongo.
22. Kumdhalilisha mwenzi wako mbele za
watu.
23. Kupenda starehe kuliko kuujenga
uhusiano wa kudumu [love]
24. Uchafu kutojipenda na kupenda
mazingira yako.
25. Maudhi ya mara kwa mara.
26. Kutoonyesha hisia kali hisia kali za
mapenzi kwa mwenzi wako.
27. Kutokuwa karibu na mpenzi wako mara
anapokuwa katika msongo wa mawazo.
28. Kutokuwa mbunifu wa maisha mapenzi.
29. Kutokuwa na msimamo katika maamuzi
yako [kutoendeshwa na watu]
30. Kutokuwa na muda na mwenzi wako.
31. Kutokuwa na shukrani.
32. Kutokujua gharama za upendo.
33. Kuwa na wivu wa kijinga.
34. Kuwa mbinafsi.
35. Kujifanya kuwa [busy] na kushindwa
kumtunza na kumjali mwenzi wako
36. Kutokuwa na imani juu ya mwenzi
wako.
37. Kutokubaliana na hali halisi ya maisha
yenu.
38. Kutokukubali kujifunza.
39. Kutokutambua maana ya mapenzi na
umuhimu wake.
Tabia hizo ndizo zinasababisha mahusiano
ya watu wengi kuvunjika, hata ndoa
kuharibika maana huyu mtu unayemfanyia
hivi ipo siku atachoka, maana hana moyo
wa jiwe bali ana moyo wa nyama.
Kuvumilia nako kunamwisho wake, hizo
tabia ndizo zimechangia maumivu, vidonda
vya mapenzi, vifo vya watu wengi na
kuwafanya watu wengine kuchukia
kupenda na kupendwa katika maisha yao.