Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wengi twaweza kukubaliana na hili. Mfano una watoto wawili Jane na John, anakuja jirani anakwambia mwanao John vitoto vya kike hapa mtaani ameisha vigonga, katika hali ya kawaida hapa mzazi...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mende,panya,buibui ,mijusi na vijidudu vingine tudogotudogo ? Yaani ni majanga ,wengine hutetemeka mwili mzima na kama ameonekana ndani basi haingii hadi kidudu kimeuliwa ,mambo haya vipi /...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi sio mshirikina lakini kwa hili nitakua mshirikina Mungu nisamehe. Kwa nini? nimekutongoza umekataa, nimekudanganya vya kutosha ili unikubali lakini wapi! sasa siwez kukubali nikukose mtoto...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Hivi naomba niulize kitu. Kuna kipindi huwa inatokea akiingia demu mzuri au hata wa kawaida tu mahali fulani, utakuta midume inammezea mate. Hivi hisia hizi na wanawake wanakuwaga nazo kweli kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wewe ni mwanaume umeoa, ni weekend, ulienda kazini, baada ya kutoka una miadi na totos unaamua ukutane naye nyumbani kwa mshikaji wako ambaye hajaoa, mnaenda mnafanya mambo yenu chumbani kwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Achilia mbali kuchelewa makazini,kuchoka pasipo kufanya kaz ya maana,uwezekano mkubwa wa magonjwa ya mlipuko kutokana na msongamano mnene kwenye daladala lakin pia n hatari sana kwa dushelele...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku hizi habari za watu kukatili watoto wao zimezidi sana kwa kweli, sio kwamba siku za nyuma kulikuwa hakuna unyanayasaji wa watoto lakini siku hizi ni too much kwa kweli. Leo sitaongelea...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
napenda nwe na rafk wa kike umr kuanzia miaka 16 had 25 . sifa awe mpore-apende wazaz- aliye tayar kubeba tatzo langu kama lake . prz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watu duniani hawana utu kabisa, wengi wakina mama wameleta matatizo mengi duniani na kusababisha kuzaliwa watoto wenye mazingira magumu. Kuzaa in haki yako lakini ni lazima ujiandae...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanajf, nimeona nibalance gender kwa thread inayotoa sababu ya mwanamke kuzeeka bila kuolewa. Wanaume tujicheck pia: 1. Kuwa mvivu, kutojishughulisha 2. Kutokuwa jasiri 3. Kupenda vya bure 4...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Nawasalimu sana wana MMU Ni siku nyingi kidogo sijapost hapa jukwaani ila ni sababu za kiusalama zaidi nimekutana na hili suala naninataka ushauri wenu maana mimi sio mshauri mzuri wa masual ya...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanawake wanaopendwa zaidi na wanaume na hata kuolewa mapema ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya...
10 Reactions
72 Replies
15K Views
Utafiti wangu niliufanyia katika msitu huu......... Wengi wetu tunawaheshimu watu, siyo kwa ubinadamu wao, bali kwa namna walivyo kwa nje. Kama wana magari, suti, ni wazuri wanaopendeza, hao ndio...
30 Reactions
57 Replies
7K Views
Hivi ni umekaa na mpenzi wako au mume/mke wako hotelin au sehemu yoyote iliyo tulia mkipata lunch/diner au burudan ghafla ukamuona rafiki yako wakike/wakiume na mlipotezana kwa mda mrefu sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza!!! 2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwari wa kimakonde au kizaramo. mnatutisha...
14 Reactions
167 Replies
21K Views
HESHIMA KWENU. MIMI NITA HILI JAMBO LINANITATIZA NA NAOMBA USHAURI WENU (PLEASE ONLY SERIOUS ADVICE) ESPECIALLY KWA WALIOKWISHAPITIA MKASA KAMA WANGU. NI HIVI: Nimeoa nina watoto 3 na miaka 5...
0 Reactions
89 Replies
9K Views
Habarini za kazi, Kuna kijana nilikutana nae mwaka 2011, tukawa marafiki hatimae apenzi mpaka wazazi wake wakafahamu na baadhi ya ndugu zake, mwaka 2011 december alisafiri kwenda nje ya nchi a...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
hivi ni sahih kushka simu ya mpenz wako na kukagua? pia kufaham mshahara anaopokea ni vbaya as long as mna future?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wandugu, Wacha niende moja kwa moja kwenye mada. Weekend nilitoka na shemeji yenu kama kawaida na katika maongezi ya hapa na pale akaniambia kuwa wazazi wake watakua mjini karibuni na...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Wana Jf ktk kutafakari hili na lile, nimejiuliza kijana asiye na ajira wala biashara hasa hawa waliomaliza ngazi zote za shule mpaka vyuo, wanawezaje kumudu garama za mapenzi? Kuna ile misemo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom