Zifahamu mbinu za kuishi na mwanamke

Zifahamu mbinu za kuishi na mwanamke

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
704
Mdanganye mwanamke na utaona
jinsi atakapoyafanya maisha yako
kuwa magumu zaidi ya jehanamu
hapa duniani
1. Usimpige
2. Usimpe maneno ya kumnyanyasa
3. Usimfanye aone kudharauliwa
4. Usimfanye aone hapendwi
5. Usimbake
6. Usimdanganye na kuwa na wanawake
wengine
7. Usiichukie au kutoipenda lugha yake ya
mapenzi.
Mpe utofauti atakupa upendo
Mpe tabasamu atakupa furaha
Mpe moyo wako atakupa maisha yake
Mpe nyumba atakupa familia bora
Mpe wazo lako atakupa mpango wa
kutimiza
wazo lako.
Mfanye malkia atakufanya mfalme
Mpe mapenzi naye atakuwa wako tu
Ila mdanganye na utaona jinsi
atakapoyafanya
maisha yako kuwa magumu zaidi ya
jehanamu
hapa duniani
 
Mdanganye mwanamke na utaona
jinsi atakapoyafanya maisha yako
kuwa magumu zaidi ya jehanamu
hapa duniani
1. Usimpige
2. Usimpe maneno ya kumnyanyasa
3. Usimfanye aone kudharauliwa
4. Usimfanye aone hapendwi
5. Usimbake
6. Usimdanganye na kuwa na wanawake
wengine
7. Usiichukie au kutoipenda lugha yake ya
mapenzi.
Mpe utofauti atakupa upendo
Mpe tabasamu atakupa furaha
Mpe moyo wako atakupa maisha yake
Mpe nyumba atakupa familia bora
Mpe wazo lako atakupa mpango wa
kutimiza
wazo lako.
Mfanye malkia atakufanya mfalme
Mpe mapenzi naye atakuwa wako tu
Ila mdanganye na utaona jinsi
atakapoyafanya
maisha yako kuwa magumu zaidi ya
jehanamu
hapa duniani

Yote hayo uliyoyaandika mtendee mwanaume utaona maajabu yake!
 
Umemanisha nimpe nyumba anipe familia?
Aisee hapa nyumba haitoki kiraisi ivyo acha tutesane tu!
 
Kwani mwanamke ni nani hasa hadi kuwe na mbinu za kuishi naye?
 
ujumbe mzuri kwa kila mwanaume mwenye pumzi
 
Mimi hapa

picha wasifu kama uko 'silidi' kam sio'silidi' idadi ya uliocheza nao kwa majina na wapo hai au la na kupima kila baada ya miezi mitatu kwa mwaka ndipo nianze kukufanyia vyoote

nb:kupima utapima peke yako mi ni mzima
 
Back
Top Bottom