the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Habari za jion na poleni na swaumu!kuna suala linaonekana la kawaida ila kiukweli lina utata na ugumu wake pia,jinsi gani ya kuishi na mke ndani wengi tunatumia tu mazoea na hatimae mahusiano mengi yanakufa,naomba tupeana msaada hivi ni jinsi gani kuishi na hawa wenzetu maana wa kwangu anaelekea kunitoa roho sasa na mwisho nitafungwa kwa kumpiga bure,kabla sijachukua maamuzi magumu napenda kujuzwa jinsi ya kuishi huenda kuna kitu nakosea ikawa kinasababisha haya.upande wangu niko muwazi kwake anajua kila kitu changu mpaka account ya bank na hadi salio na fedha ninazo ingiza sasa kuna walionijulisha haitakiwi hivyo nahisi kuna mengi ambayo pia huenda nakosea ambao wa zamani na mnamuda mrefu kwenye ndoa huu ni muda wenu kutufunza sisi wageni wa haya hili tuboreshe ndoa maana maisha ya kuishi pamoja ni tofauti na enzi za kwenda guest.Wengine ndio hivyo ndoa NO tunahamishia tu ndani sasa hata mafunzo ya sijui ndundu party sijui kitchen party hakuna,Natanguliza shukrani