Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Padre alihubiri huwezi kutubu dhambi zako kama wewe mwenyewe hujasamehe waliokutenda/kuumiza kwa kutokutubu dhambi zako unakuwa umejenga ukuta na mungu wako kwa kuwa na dhambi unakuwa umemuasi...
10 Reactions
107 Replies
10K Views
Nimekua nikijiuliza sana inakuaje Mwanaume anashindwa vipi kummmanage mke wake kiasi kwamba mke akadochwe nje..! Hili limekua gumu sana kwangu kuamini kua sita weza kufahamu kua sasa mke wangu...
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Jana usiku mida ya saa 3 na nusu usiku tulisikia yowe likitokea nyumba ya jirani tukadhani wamevamiwa na wezi tukatoka kwenda kusaidia,kufika huko tukakuta mama mmoja jirani yetu akipiga kelele...
0 Reactions
67 Replies
14K Views
Ndugu wanaJF, Ni matumaini yangu wapo waliokwisha kukumbwa na hili ama wapo wanaofanya haya mambo. Katika suala la kutaka kuoa unakuta mwanaume anapopeleka ama anapoenda kuulizia Mahari...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo uzalendo umenishinda imebidi nilete kwenu wana JF hili suala. Nipo ndani ya ndoa miaka mingi na tumejaliwa binti mkubwa yupo sekondari. Mimi na wife tunashukuru mungu, wote ni graduates na...
0 Reactions
124 Replies
9K Views
Kuna binti mmoja kapendwa na wazazi wa kijana mmoja hivi na wanataka kijana wao amuoe unafikir hisia za wazazi zitakuwa sawa na za kijana wao?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MTOTO ni sexy na yuko hot kinyama na anatishia amani kwa uzuri baanaa asikwambia mtu. Hiki kitu kinakwenda kwa jina la Zenah Juma, ni bonge la toto lililowahi kushiriki kuwania taji la Miss...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Habari za Asubuhi wanaJAMII! Siku yangu ya jana imeisha vibaya! Kuna ile story yetu tulioianza tangu J'tatu, ambayo mpk jana imefika sehemu ya saba! kuna Mkuu kanicheck jana na vitisho kibao...
11 Reactions
95 Replies
8K Views
I love you as ma brother, hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,, kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo. Nifanyeje...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Kamwita mwanae kwa kisingizio cha kutaka kumsalimia,jana kanipigia simu eti anataka kumpeleka shule na ana watoto wawili
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Ni kawaida jambo kushindikana kwa sababu mbali mbali,lakini inafikia wakati mtu unatamani iwe kama ulivyotaka lakini mazingira yanakataa Sasa basi kwenye masuala ya mahusiano nako kuna vimbwanga...
8 Reactions
306 Replies
21K Views
Hii ni ya kweli haswa, huyu bwana amekuwa akikutana na majanga haya ndani ya ndoa yake, kila akiomba haki yake anapewa visingizio, na yeye kwa ustadi mkubwa amekuwa akidocument kila excuse...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kutokana na malalamiko ya kaka zetu kwamba “wanawake wazuri“ wakimaanisha wanaofaa kuoa hamna siku hizi nashawishika kuuliza maswali kadhaa ili tusiojua tujue ni vigezo gani vinatumika kumtambua...
6 Reactions
452 Replies
61K Views
habarini wana mmu, kuna habari nimeisoma mahali nikaona si vibaya nikiwashirikisha ambayo imenifanya nijiulize kweli KUNA KOSA LISILOSAMEHEKA? kuna mwimbaji maarufu wa bongo flava ambae ana pesa...
0 Reactions
113 Replies
9K Views
Goodmorning wapendwa. Hope wote mko vizuri asubuhi hii.Katika pitia pitia zangu za mitandao na vitu kama hivo nmekumbana na hii article ambayo nimeona sio mbaya kushare na nyinyi kwa imani kuwa...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Habarini wakuu....... Mwanadada umemaliza chuo, umepata kazi unaboyfriend anataka kukuoa wewe unaleta tamthiliya....OK, Kwa kweli mnashangaza sana. Au mnataka kubaki kuchezewa na kuachwa kama...
3 Reactions
170 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu!?.. Natafuta marafiki/rafiki jinsia yoyote iwe wakike au wakiume na mwenyeji/mkazi wa Zanzibar. Nimekuwa na hobbies za kibiashara na utalii kuhusu Zanziber pia sifa za mji na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu wana-MMU! Naombeni msaada, me nipo Wilaya Temeke hapa Dar, biashara yangu ni M-PESA,Tigopesa na Airtel money. Kuna mmama ni Mteja wangu sana toka nilipofungua hapa mwaka 2011. Lkn kuna...
0 Reactions
134 Replies
17K Views
Kumekuwa na jitihada za kupiga vita ukeketaji wa wanawake kutokana na ukweli kwamba kitendo hicho kinawaletea madhara makubwa wanawake nyakati za uzazi na pia kuwapunguzia na hata wakati wingine...
0 Reactions
38 Replies
12K Views
Back
Top Bottom