MUHEKA PANGENDE
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 294
- 177
Kamwita mwanae kwa kisingizio cha kutaka kumsalimia,jana kanipigia simu eti anataka kumpeleka shule na ana watoto wawili
Ni kwel mkuu:thumbup:Mwache aendelee kusoma, kama anakupenda utaendelea kummiliki.
mtie mimba tu.
Kama ulishindwa kumwendeleza kielimu ulitegemea nini?
Kama ulishindwa kumwendeleza kielimu ulitegemea nini?
mtie mimba tu.
Kama ni mkeo kweli ni lazima huonyeshe msimamo wa kipi unataka sio watu waamue wanalotaka katika familia yako hata kama ni baba mkwe ila kama hamkua na ndoa mwaishi kisela hiyo ni dalili mbaya
Kamwita mwanae kwa kisingizio cha kutaka kumsalimia,jana kanipigia simu eti anataka kumpeleka shule na ana watoto wawili
Kuna wazee huwa wanatafuna binti zao. Huyo anaweza kuwa mmoja wao. Hapa kisingizio ni elimu. Nyambafu!
Kuendelezwa kielimu na baba yake si mbaya Hasa kama wewe Huna uwezo huo,ila mnapaswa mjadili nawe utoe kauli yako kama mume!!!
Upole gani huo?