Kutahiri au kutotahiri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutahiri au kutotahiri?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kichankuli, Jan 5, 2009.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Kumekuwa na jitihada za kupiga vita ukeketaji wa wanawake kutokana na ukweli kwamba kitendo hicho kinawaletea madhara makubwa wanawake nyakati za uzazi na pia kuwapunguzia na hata wakati wingine kuwaondolea kabisa hamu ya kufanya tendo la kujamihiana achilia mbali maumivu wayapatayo wakati wa kukeketwa.

  Hili halina ubishi; ila mimi huwa najiuliza, JF Doctor unisaidie kwa hili, hivi Mungu alivyotuumba sisi wanaume na govi hakuwa amemaanisha kwamba litakuwa na kazi na manufaa kwa mwanamume huyu?; au kwa lugha nyingine niulize hivi, kazi ya govi ni nini?. Je haiwezekani kwamba tunavyotahiriwa huwa tunapunguza ladha ya tendo la kujamihiana kwa mwanamume na mwanamke kwa pamoja. Bahati mbaya sana asilimia kubwa ya wanaume wa karne ya 21 wanatahiriwa wakiwa wadogo sana kiasi kwamba huwezi kupata fursa ya kutofautisha tendo la kujamihiana wakati ukiwa na govi na wakati ukiwa umetahiriwa. Wataalamu mnejuze
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Hii link inaweza kuwa relevant:
  The Use of Male Circumcision to Prevent HIV Infection
   
 3. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,677
  Likes Received: 82,531
  Trophy Points: 280
  Kuna magonjwa mengi ya zinaa yaliyokuwepo siku nyingi tu ambayo mtu ambaye hajatahiriwa anaweza kuyapata kirahisi ukilinganisha na yule aliyetahiriwa pia nimewahi kuona katika message boards nyingine wanawake wengi hupendelea mtu aliyetahiriwa ukilinganisha na yule ambaye bado ana G****
   
 5. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  smegma ya kwenye govi imekuwa associated na some cancers in women, as well as in men. ndo kusema ukiwa na govi unajiweka kwenye risk ya kupata carcinoma ya penis, matibabu yake kukatwa ****. na pia unamuweka partner wako kwenye risk ya kansa mojawapo za kike. ukijumlisha na 60% reduction in HIV transmission risk - ndio utapata jibu bora utamuuuuu au utamu!
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  I know. Je umesoma hiyo link?
   
 7. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Mantiki yangu ni kwamba kwa wakati uliopo tunahimizana kuwa na mpenzi mmoja aliyepima virusi na magonjwa mengine ya zinaa, au laa kama inashindkikana mmoja basi kondomu inatumika. Kwa mantiki hiyo, ceteris paribus (otherthing being equal) kama wacchumi wanavyopenda kusema, hili govi kazi yake ni nini? Kwa sababu mtoto huota meno ya awali halafu hufika wakati yakangoka na kuota mengine imara zaidi kwaajili ya kutafuna mahindi mihogo, minofu, n. k. Lakini kitu kingine, kabla ya kuanza harakati za kupiga vita ukeketaji, wanawake ambao walikuwa hawajakeketwa walikuwa na wakati mgumu sana kuchojoa na kuoga mbele ya wenzao waliyokuwa wamekeketwa kwani walichekwa sana.

  Lakini pia kwenye hiyo link hapo juu wameeleza kwamba tafsiri ya matokeo ya tafiti yalikuwa na uwezekano wa kuathiriwa na mazoea ya jamii katika kutahiri wanaume ambayo yamekuwepo muda mrefu.
  Kwa upande mwingine wameeleza kuwa utafiti huo ulikatishwa na wakasema kwamba laiti ungeachwa hadi ukamilike kwa muda uliopangwa tofauti ya maambukizi kati ya makundi haya mawili ingekuwa ndogo sana (insignifince). Ndiyo maana hoja yangu siyo kuhusisha kutahiri na maambukizi ya ukimwi, bali ladha yake. Na ingekuwa vema kama wanawake wangetupa uzoefu wa tofauti badala ya mwanamume kusema nilisikia.
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Agreed. It will be interesting!
   
 9. J

  Jitume Senior Member

  #9
  Jan 6, 2009
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kichankuli

  Ulitaka kumaanisha wanaume? Wanawake hata wachojoe si rahisi kuonekana hama sivyo? Anyway point taken.

  Ladha yaweza pungua pia, wenye size ndogo wakitahiri inazidi kupungua hivyo kupwaya. Hata hivyo ni faida ndogo ukilinganisha na hasara. Tuwasome wengine kama kuna ziada.
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Sijaona mantiki ya kukatwa govi.......nahitaji jibu la kimantiki zaidi mambo ya Ukimwi ni siku hizi.Kwa nini tunakatwa magovi?
   
 11. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sijui kwa mataifa mengine, ila waisrael na watoto wote wa ishmael(baadhi ya waarabu)walilazimishwa na Mungu wa Ibrahimu ambaye ndiye Mungu wetu sisi sote kutahiri watoto wao siku ya nane baada ya kuzaliwa. hivyo kwao ni lazima na ni agano la milele. kwetu sisi mataifa mengine, tunatahiri traditionally kwa imani za asili pia. ila mantiki ni kwamba, ukitahiri, unakuwa msafi sana. pia ngozi yako ya uume pale kwenye kichwa inakuwa kavu na ngumu kidogo. hivyo sio rahisi kuchubuka wakati wa sex. kwa wale wasiotahiri, wanapofanya mapenzi, ile govi huwa inachubuka, ni laini sana kwasababu inakaa mbichi muda wote kutokana na mkojo na manii yanayotoka usiku. asipoosha inakuwa chafu na inaweza kunuka. pia kama hataosha manii yataganda ndani na nirahisi sana akigusha sehemu yoyote yenyi bakteria, wakamvamia kwasababu environment ya hilo govi ni suitable for bacteria. bali kwa yule aliyetahiri, inakuwa kavu kama ulivyo mkono tu, na ni safi. akifanya mapenzi anaweza hata akafanya kama livyofanya Zuma kule south, uchafu umeshatoka wote. so, nafikiri, kutahiri ni kitu safi sana, na pia inaondoe inferiority ya mwanamme mbele ya mwanamke,kwasabab wadada wa siku hizi ukiwa hujatahiri, wanakukimbia wote, na watakusema huko masaluni kwao kama nini....kwaheri.
   
 12. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  umh, wewe mwana wa Mungu sasa hapo balaa. umeeleza kinagaubaga...
   
 13. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Ukisemea juu ya usafi ni sawa na mtu anayesema kwamba tunanyoa kipara ili tuwe wasafi, hilo halitoshelezi kuwa jibu sahihi kwani kuna ambao hawanyoe nywele lakini wanazitunza na kubakia kuwa safi. Lakini kwenye kichwa kuwa kikavu, huenda tukawa tunakosea kwani kuna wakati tunalazimika kutumia mate kupaka kwenye hicho kichwa ili kuwezesha kuingiza; kumbe ingebakia na govi tusingekuwa na sababu ya kupaka mate. Tuachane na mambo ya usafi au ugonjwa (kwasababu hata maembile ya wanawake yalivyo kama siyo msafi, habari yake naamini unaifahamu, huwezi kupima), tuchukulie kwamba usafi unazingatiwa na kwamba tunazingatia kuwa na mpenzi mmoja (as an assumption), je govi likiachwa lina ladha yoyote/au linaongeza chochote katika mapenzi?.

  Jitume:

  kwa wenyewe wanawake walikuwa wanatambuana kwa kuangaliana, kwani wakati wa kuoga si lazima wanajiachia na kuonyeshana, asiyekeketwa hakuwa na uhuru wa kufanya hivyo.
   
 14. J

  Jitume Senior Member

  #14
  Jan 10, 2009
  Joined: Dec 13, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kichankuli.

  Pamoja na faida nyingi za wanaume kutahiriwa, zipo hasara ndogo. Kama MwM alivyoeleza, sehemu ya kichwa ikishakutahiriwa inakuwa ngumu (kwa maumbile ya pale ikitahiriwa inakuwa ngumu sana na si kidogo),si laini tena kama ilivyoumbwa. Ikishakuwa hivyo inapoteza msisimko ambao wakati wa kupima unakuwa mkubwa kwa asiyetahiriwa kuliko hata wa MWENZA hivyo kwa kiasi fulani kupunguza raha ya tendo lenyewe. Kwa sababu ya ngozi ile ya kichwa kukaa imefunikwa, msisimko wake ni mkubwa kuliko wa mwanamke na mwanamme aliyetahiri. Sehemu hii laini ikigusana na laini nyenzake ya MWENZA basi ni mlipuko.
   
 15. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani tumetahiriwa kwa misingi ya imani na utamaduni.Wakristo,Judaism na waislam ni kama mwana wa mungu alivyoelezea hapo manake uzao wa Isaac ndiyo umekwenda mpaka kwa Yesu na uzao wa Ishmael ndiyo wa Muhamed na Mungu aliyemwamuru Abraham kutahiri ndiye Mungu wa mataifa yote.
  Lakini sasa pia kuna medical evidence ya umuhimu wa kutahiri as asiyetahiri anakuwa kwenye risk kubwa ya STDs,UTIs na hata penile cancer kuliko aliyetahiri.
  Ila bandugu govi siyo structure ya binadamu ambayo ipoipo tu kama let say appendix.govi liko very rich in nerve supply kwahiyo watu wenye magovi wanasikia raha zaidi wakati wa mapenzi kuliko wasiyonayo.Wengi wetu tumetahiriwa tukiwa wadogo hivyo hatuoni tofauti.Lakini waliotahiriwa wakati tayari wameshafanya ngono wanajuta kwanini walitahiri.
   
  Last edited: Jan 11, 2009
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,677
  Likes Received: 82,531
  Trophy Points: 280
  Dr David Hawker, a GP, discusses an operation that has become a taboo topic.

  Prompted by a lifetime of clinical observation, plus personal experience, he provides commonsense reasoning
  together with old and new evidence in favour of this time-honoured procedure.

  There are many other situations where circumcision helps prevent future disease or discomfort. We should seek to prevent problems arising, rather than deal with the problems once they occur. Let us look at some of these, in no particular order.

  1 Where the foreskin cannot comfortably be pulled back over the glans (knob) of the penis. Now, up until the age of five or six, many boys cannot retract their foreskins - mums and dads beware - if you try too early you may do some damage. Above the age of six or seven, it is important that boys be taught how to clean under the foreskin, making sure the skin is pulled right back. If your son cannot do that he may need circumcising. Boys frequently forget or deliberately avoid this routine and run into difficulties.

  2 If the foreskin cannot easily be moved when the penis becomes hard, or if that causes pain - this is not only a childhood problem. At puberty, as the penis grows and masturbation begins, problems may emerge. Some men have pain on intercourse, which they then try to avoid for that reason. If so, you (and your partner) will benefit from your circumcision just as many boys do. Some men are afraid to admit to this problem, but it is curable by circumcision.

  3 Where you and your partner keep getting 'thrush' infections.Some call this 'sexual ping-pong'. One keeps passing it back to the other. Of course, you may first try creams or tablets from your doctor or chemist, but if it keeps coming back, circumcision will cure it. It did for me. The foreskin is a warm and moist incubator under which infections can easily develop.

  So as you can see, although things aren't actually broken, they may need fixing to eliminate misery and promote a more comfortable trouble-free life. How long does it take to fix? About 20 minutes!

  Are there benefits from circumcision?
  There are several:

  1 Many older men, who have bladder or prostate gland problems, also develop difficulties with their foreskins due to their surgeon's handling, cleaning, and using instruments. Some of these patients will need circumcising. Afterwards it is often astonishing to find some who have never ever seen their glans (knob) exposed before!

  2 Some older men develop cancer of the penis - about 1 in 1000 - fairly rare, but tragic if you or your son are in that small statistic. Infant circumcision gives almost 100% protection, and young adult circumcision also gives a large degree of protection.

  3 Cancer of the cervix in women is due to the Human Papilloma Virus. It thrives under and on the foreskin from where it can be transmitted during intercourse. An article in the British Medical Journal in April 2002 suggested that at least 20% of cancer of the cervix would be avoided if all men were circumcised. Surely that alone makes it worth doing?

  4 Protection against HIV and AIDS. Another British Medical Journal article in May 2000 suggested that circumcised men are 8 times less likely to contract the HIV virus. (It is very important here to say that the risk is still far too high and that condoms and safe sex must be used - this applies also to preventing cancer of the cervix in women who have several partners.)

  A BBC television programme in November 2000 showed two Ugandan tribes across the valley from one another. One practised circumcision and had very little AIDS, whereas, it was common in the other tribe, who then also started circumcising. This programme showed how the infection thrived in the lining of the foreskin, making it much easier to pass on.

  5 As with HIV, so some protection exists against other sexually transmitted infections. Accordingly, if a condom splits or comes off, there is some protection for the couple. However, the only safe sex is to stick to one partner or abstain.

  6 Lots of men, and their partners, prefer the appearance of their penis after circumcision, It is odour-free, it feels cleaner, and they enjoy better sex. Awareness of a good body image is a very important factor in building self confidence.

  7 Balanitis is an unpleasant, often recurring, inflammation of the glans. It is quite common and can be prevented by circumcision.

  8 Urinary tract infections sometimes occur in babies and can be quite serious. Circumcision in infancy makes it 10 times less likely.
   
 17. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Tunakatwa govi coz ni nyama ya nyongeza....teh teh.....! Iwepo isiwepo hakuna tatizo au tofauti yeyote. Sijawahi kusikia mwanaume anashindwa kazi (tendo) kwa sababu ya govi (au kutokuwepo kwa govi)!
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ndugu wadau,

  Nimekutana na hili jambo mara nyingi na nimeona nililete kama mada inayojitegemea ili tulijadili. Najua kuwa umuhimu wa kutahiri (medically, ethically and aethetically kwa baadhi ya watu). Ila pia kumeanza kuzuka hoja kuwa kutahiri haukuwa mpango wa Mungu na ndiyo maana akaiumba hiyo ngozi.

  Pia kuna watu wanadhani kwenye ile ngozi (prepuce) kuna uchafu mwingi sana na wadudu (bacteria). Hata hivyo hakuna sehemu ambayo ina bacteria wengi kama sehemu za siri za akina mama (vagina).

  Kama ni hivyo, kwanini tusiache kuwatahiri watu ili waje baadaye wamue wenyewe kama wanapenda kutahiri au la?
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhh wewe bwana ndo kusemaje sasa?wenye bakteria weng ndo watahiriwe?
   
 20. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wewe kaka hao bakteria wako wapi kwa akina mama? wanazaliwa nao au utundu wao ndo unawasababishia waingie ndani kwa kujiweka vitu visivyotakiwa mara kujichokonoa(doutche),kufanya tendo ambalo linahusisha bakteria walio nje ya uume loh wanawake hawana bakteria bali wanaletewa bakteria kwa wale wanaoshiriki sana tendo la kujamiiana.
   
Loading...