Pole sana ndugu yangu, tafuta mchepuko!

Pole sana ndugu yangu, tafuta mchepuko!

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
7,341
Reaction score
4,076
Hii ni ya kweli haswa, huyu bwana amekuwa akikutana na majanga haya ndani ya ndoa yake, kila akiomba haki yake anapewa visingizio, na yeye kwa ustadi mkubwa amekuwa akidocument kila excuse anayopata kutoka kwa mkewe.

Ndoa nyingi haziko salama, usiwaone wtu wanatoka wanaongozana na kucheka barbarani iukajua kila kitu kiko sawa!

934943-8ee3aa26-0f59-11e4-9633-5d2eb5bc90d6.jpg
 
yaaaaani kwa wiki mara moja... labda kama sijamtolea mahari
 
Na yy alikuwa anataka game daily. Huo ni uzembe no.1

Isitoshe, tangu ln mwanaume akategemea mwanamke mmoja. Akiumwa na ww unaumwa. Huo ni uzembe no. 2

Mind that, siku zote mwanamke anakuwa na adabu kwa issue hizo akijua una demu mwingine au unaweza kuwa na demu mwingine at any time t. Kumuonyesha vingine na hapo ni uzembe no.3.

Guys Pse do change.
 
Eti kwa ustadi mkubwa amekuwa akirekodi. Hahaha huo ustadi angeuweka kwa kumpa raha mkewe tusingekuwa na excel sheet. Ukiona mwenzio hakutamani basi jitamushe na wewe, khaa
 
Na yy alikuwa anataka game daily. Huo ni uzembe no.1

Isitoshe, tangu ln mwanaume akategemea mwanamke mmoja. Akiumwa na ww unaumwa. Huo ni uzembe no. 2

Mind that, siku zote mwanamke anakuwa na adabu kwa issue hizo akijua una demu mwingine au unaweza kuwa na demu mwingine at any time t. Kumuonyesha vingine na hapo ni uzembe no.3.

Guys Pse do change.

Una akili kama İsaac Newton.
 
Amwambie naona kila siku unasingizia umechoka, ngoja nikuletee housegirl awe anakusaidia usichoke. Unawakamua wote, shheeeenzy!!
 
Huyo atabaka saa ngapi na yeye yuko busy anaweka mahesabu. Anapewa mara tatu kwa wiki mbili hehehe. Tarishi wa bomani! Pata picha bibi angekuwa anakuhesabia dakika zako, na siku umekuja tilalila, na siku hujaoga! Yaani na yeye aweke kakitabu kake ka hivi leo dk 2, kesho dk 15. Hivi utaendelea kujituma
Mwambie aache uzembe, hakuna kesi ya kubaka mke. Kama vıpi alete msaidizi kwa gia ya house girl.
 
Kama anaomba mikono nyuma kama anaomba kazi hiyo excel sheet itajaa huku siku za majibu ya YES zikipungua kwa kasi!!
Mtu asiyejiongeza wa nini?
 
Huyo dawa yake unamlete mwenza ndani live!
 
Kama anaomba mikono nyuma kama anaomba kazi hiyo excel sheet itajaa huku siku za majibu ya YES zikipungua kwa kasi!!
Mtu asiyejiongeza wa nini?

tehe tehe tehe tehe baelezee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom