Wazazi kumpenda binti na kutaka binti aolewe na mtoto wao je, kutakuwa na real love?

mgoli magombe

Senior Member
Apr 20, 2013
121
27
Kuna binti mmoja kapendwa na wazazi wa kijana mmoja hivi na wanataka kijana wao amuoe unafikir hisia za wazazi zitakuwa sawa na za kijana wao?
 
Wanaosema ndio 100% wanaosema hapana 0% wanaosema hawajui 0% hahahahahahaha Tyta
swali lako nalifananisha na baadhi ya maswali ya kipimajoto itv....Majibu yako wazi kabisa....
 
Last edited by a moderator:
real love hakuna hapo labda kama wanataka huyo jamaa apige then asepe
 
Back
Top Bottom