Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Never forget 3 types of people in your life in difficult time 1. who helped u in ur difficult tym... 2. who left you in ur difficult tym... 3. who put you in ur difficult tym... where...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UTAMU WA BIRIANI Utamu wa biriani Si harufuye puani Au rangiye machoni Haitoshi asilani Uzuri wa biriani Tonge liende kinywani Ladha nono ulimini Rahaye paka moyoni Mithili ya biriani Mke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHUMBIA BINTI MPENDA VITABU Hii ni kwa vijana wanaopenda kuoa! Ukitaka kuoa, chumbia Binti Mpenda Vitabu ( BMV) Kwa nini? Wa kazi gani? Utampata wapi? Unaweza kumpata Maktaba akihangaika na...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
Habar ya mda huu wadau, Moja kwa moja niende kwenye maada. Mkasa huu umenikumba nikiwa nafanya kazi mkoa flani kanda ya kati. Katika eneo ambalo nilikuwa naishi ni karibu na sehemu ambayo baba...
0 Reactions
209 Replies
22K Views
Jamani wana MMU yamenikuta, wiki hii nilipanga nikutane na shemeji yangu wa kiume, yaani ndugu wa damu wa mpenzi wangu. Nilitaka kukutana nae maeneo ya ubungo stand ili aweze kunipa funguo ya...
0 Reactions
146 Replies
14K Views
I need girlfriend mm nipo dar,umri wangu miaka 21 nnaemtaka umri kuanzia miaka 18-24 kwa mawasiliano 0656899091 au khaleedshaban@gmail.com,asanteni sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Leo jioni nilitembelewa na mpenzi wangu ambaye kimsingi ndiye niliyemwandaa aje kuwa mama wa watoto wangu siku si nyingi zijazo, yeye ana mtoto mmoja. Leo kwa mara ya kwanza kakutana na wazazi...
2 Reactions
169 Replies
23K Views
:A S 11:MAHABA MURUA Niliripoti chuoni, sina kitu mfukoni Mawazo tele kichwani, kijana takula nini? Sina mwenyeji mjini, atanisitiri nani? Mahaba yako murua, usiniache mpenzi Zikapita wiki mbili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana MMU. Kuna jambo fulani la kinafki wapenzi wengi wamekuwa wakilifanya hasa pale wanapokuwa mbele za watu. Topic Yenyewe. Unamkuta mtu katoka na mpenzi wake kwenda kupata...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Poleni na majukumu ya kila siku wana MMU Nina mengi ya kuandika ila nahisi sitaweza kwa kuwa niko na mawazo sana,nina mpenzi wangu ambaye ni miaka miwili sasa tuko kwenye relationship. kama...
3 Reactions
106 Replies
12K Views
  • Closed
Wahenga walisema "jasiri haachi asili" nimeishi sehemu mbalimbali nikichangamana na makabila tofauti wanawake wa kihaya ni wachafu kwa tabia na hawafai kuolewa. Hawa watu hawaheshimu ndoa kabisa...
5 Reactions
154 Replies
26K Views
Habarini za asubuhi wa umri wangu,wadogo marahabani nawakubwa zangu shikamooni. Leo ningependa kuwaeleza hili wenzangu hasa mabinti...
9 Reactions
212 Replies
29K Views
Habari za ku elekea weekend Wana JF. Imekuwa ni kawaida ya hapa JF hasa jukwaa pendwa la MMU kila siku kusikia lawama na manung'uniko miongoni mwa wanandoa hasa Wanaume wakiwalalamikia Wake au...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wana MMU. Nimeona nitoe darasa kidogo kwa baadhi ya akina dada wanaopenda vya mteremko. Ni hivi; kuna wadada(baadhi ila ni wengi wao) wanapenda kuombaomba pesa kwa watu...
0 Reactions
126 Replies
10K Views
Asanteni sana
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi. Mara nyingi huw navaa nguo za dukani au za mtumba na huwa mume wangu ananiambia umependeza mke wangu. Sasa tatizo ni pale ninapovaa nguo za kushona kama kitenge, kitu cha...
0 Reactions
44 Replies
16K Views
.
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa, leo bana Kasinde kanasa ndani ya State ya Obama, loooh siamini kama nimenasa la la laaaah daaah!! msinicheke jamani maana najua nilijigamba sana. Wacha niwaelezee mkasa mzima...
8 Reactions
230 Replies
23K Views
wadau kuna jambo nimeliexperience kwa muda sasa kuhusiana na tabia za baadhi ya wasichana. ni hivi mwanaume unaweza kuwa na urafiki wa kawaida kwa maana ya mazoea na msichana fulani, siku za...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamii Forum.Hii kitu nimekuwa bado cjaelewa hivi unaweza kupenda mtu kabla ya kumtamani?????mfano kumtamani kwa muonekano wake,mavazi yake na vitu vingine kama kwa mwanamke...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom