Jirani abambwa na mkewe akilawitiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jirani abambwa na mkewe akilawitiwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by uporoto01, Jun 27, 2010.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jana usiku mida ya saa 3 na nusu usiku tulisikia yowe likitokea nyumba ya jirani tukadhani wamevamiwa na wezi tukatoka kwenda kusaidia,kufika huko tukakuta mama mmoja jirani yetu akipiga kelele kwa sauti nje ya nyumba yao lakini hatujaona wezi wala watu wengine.

  Baada ya muda wakumtuliza akatusimulia kuwa mumewe kwenye saa 3 kasorobo alimuaga anaenda kuangalia mpira nyumba ya jirani ambayo wana TV kubwa.

  Baada ya muda mama akakumbuka hajaanua nguo uwani akatoka kwenda kuzichukua. Ile kuzunguka nyumba tu anakuta kuna mwanamme kainama na mwingine yuko nyuma yake anamshugulikia.

  Kuangalia vizuri akaona wa mbele ni mumewe na huyu wa nyuma ni kijana mmoja wa mtaani. Akapiga yowe wakakimbia na kuruka ukuta wa nyuma.

  Mume mpaka sasa hajulikani alipo na ni bonge la mtu futi 6 na inchi kadhaa lililo shiba sipati picha walianzaje. Hivi mtu hata kama una tabia hii ndio ufanya nyumbani kwako.

  Jamaa ana kazi nzuri na mkewe anasema hajaona tofauti yoyote na wana mtoto mmoja wa miaka 2.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jun 27, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hayo ndio madhara ya mke kumpa tigo mumewe na mwishowe mumewe kunogewa na kwenda kuanza kuliwa yeye.....mla huliwa
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mama anadai mumewe hajawahi kumuomba tigo(alivowaambia kina mama wenzake) na amestushwa sana na jambo hili.
   
 4. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri sana. Hamjamuuliza yaliyomfika mpaka kutoa TIGO!
   
 5. d

  debril Member

  #5
  Jun 27, 2010
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very sad,is it that he has female hormones...sorry to his wife!!!for more news visit ma page and click free money
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mmh ...........hii inatisha! waswahili hawajakosea kumbe ....laana inatia upofu! yaani umeshindwa kufanya kote huko mpaka chini ya nyumba! loh

  pole kwa huyu mwanamke kukumbwa na fedheha ya namna hiyo bila ya yeye kuwa na kosa katika hili.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Too bad!...Aibu ya mwaka, na mume huyo asirudi maeneo hayo tena!
   
 8. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Laana inamtafuna huyo jamaa. Na bado tena...............
   
 9. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amuulize nani na umeambiwa jamaa hajaonekana toka juzi.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  una maana gani hapo kwenye blue?
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  jamani hii mbona laana.... nina rafiki yangu mmoja yalimpata haya ikabidi aombe talaka na walifunga ndoa kanisani....hivi hii inasababishwa na nini? najaribu kujiweka nafasi ya huyo mwanamke sipati picha
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe hapo buluu hapo, kuna lishoga limoja liko huku kijijini lina kifua kama dari ya ukumbini , haki ya nani huwezi kuamini kama jamaa wanalikoromea , kuna siku liliibiwa viatu vyake lilitembeza mkong'oto karibia kitaa kizima.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  ha ha haa haa haa..
  sipati picha watu marijali wakipewa kichapo na shoga...
  inachekesha......
   
 14. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Laana nyingine mbaya.
   
 15. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Holy Crap... fikra tu unapumuliwa na ka-jamaa huku kanakuzaba vibao vya makalio.......Ohhh God ... Noooo!!!!Aombewe huyo!:jaw:
   
 16. RR

  RR JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Vijana wa mjini wanawaita mchicha mwiba........analiwa na ila na yeye anakula.....infact ana-charge betri yake ili ampigie mkewe...
  Kuna dhambi ambayo mtu akifanya hawezi kuacha asilani.
   
 17. T

  Taso JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Jana usiku wapi? Vituko vya kutunga nimesoma hizi baloney udogoni kwenye Sani in the eighties, please...
   
 18. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dunia hii yaelekea wapi jamani!
   
 19. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TV kubwa = Big screen sio? yaani mpaka hili kombe la dunia kuisha tutasikia vituko vingi kweli kweli.
   
 20. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahahahahahahaha!
   
Loading...