Most of the girls,ladies,woman are not really dealing with love true relationship but lovegumblers,aftermoney and business aids
inshort wengi humu ni wako kwa ajili ya biashara na kutafuta wapi...
Ilikuwa cku ya ijumaa 2livu
nilipokuwa nimejipumzixha
getto ndipo nilipockia
hodi..hodi..... .kabla cjaitikia
nikackia karibuu kumbe
ilipigwa kwa mama
mwenye nyumba wangu na
kutokana na ukaribu wa...
Kumekuwepo na Vilio vya mara kwa mara watu wakilalamika kusalitiwa na wapenzi wao. Lakini unapoanza mapenzi ni vema ukawa na maandalizi kisaikolojia kwamba uwezekano wa kuachwa upo pia.
Hii...
samahani sana dada yangu kwa kushindwa kuonana na wewe kwakweli ilinibidi tu nizime simu ,hivi tungepita njia ipi ?kwa sura ipi?sikiliza naomba unielewe kutwa kujipaisha,kujifanya we ndo queen wa...
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 29 amelazwa katika hospitali ya Mount Meru Arusha baada ya kutembea na mke wa mganga wa kienyeji. Kijana huyo amelazwa baada ya "jembe" lake kusimama kama nondo...
Tunafanya naye kazi hapa, alimchumbia binti, alipomuuliza kama ana mtoto binti akakataa kuwa hana, alimuuliza kama mara tatu binti akasema hapana sina.
Wiki iliyopita acha ya juzi tulienda kwao...
Jana nilikuwa naangalia move moja, dada mmoja akawa anahitaji msaada wa pesa kwenda kumuuguza mama yake, jamaa likampa shariti limkamue (wafanye mapenzi) kwanza, binti kajizungusha mwisho...
Habari zenu wanajamii forum
Kuna hii ishu yaani inanichanganya sijui na nyinyi kama mnaifahamu.Kila ukimuapproach binti anasema ana mtu,yaani kila binti ana mtu,ukikutana na binti anasema yuko...
Mapenzi ya mitandaoni mpaka sasa hayajakubalika na jamii.
Hata mimi si muumini wa cyber sex.
Lakini kuna kila dalili kuwa muda si mrefu mapenzi haya yatokanayo na mitandao yataonekana ni ya...
Jukwaa hili la mapenzi huwa ndio jukwaa ambalo huwa haipiti siku mbili bila kuangalia posti za mahusiano. Tuachane na hayo leo nitazungumzia vitu ambavyo huwa nikiwaza huwa naenjoy sana hususana...
Moshi. Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa amekufa chumbani kwa dereva huyo...
Jamani nisaidieni mana ndoa yangu ipo mbioni kuvunjika. Kila siku mume wangu akitoka kazini anakuja na bia tatu. Mbili anakunywa yeye moja ananforce ninywe mimi.
Nkilewa usiku wote anani do. Mi...
Habari wana JF
Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU...
Oyoo,
aisee kila mtu anajinsi anavyo handle au hasira zinavyo mpeleka . wengine upanda kufokea fokea watu,
wengine hupenda kupigana kwa kisa kidogo hata kama aliye mkwaza ni mwingine .
NIATAKA...
Naamini mmeamka salama na wengne tushafika katk majukum yetu ya kulijenga Taifa!
Kuna kitu nakiwaza tokea jana nisaidieni na nyie,Kuna binti mmoja rafiki yangu nimefahamiana nae kama miez 4...
Kiukweli wengi tunatamani siku 1 kuja kuendesha magari yetu private ili kurahisha kazi na pia kuepukana na adha ya daladala, lakini ukipita kila mtaa Dar, Mwanza na Arusha utawaona wadada wadogo...
Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!
Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite...