Maua katika mapenzi

peleka mchicha au spinach utaonekana wa maana. Maua waachie wa tamthilia.
 
Hayo tuwaachie watu wa magharibi. Dada zetu na maua?? Mmmh...hayo maduka ya maua yapo mangapi mitaani basi!!!
 
Maua tuwaachie wazungu.Mie badala unipe pesa unaniletea maua.Aiseee mie sipendi kabisa
 
Back
Top Bottom