Hii ipoje wapendwa

Hii ipoje wapendwa

loyda

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
436
Reaction score
128
Naamini mmeamka salama na wengne tushafika katk majukum yetu ya kulijenga Taifa!

Kuna kitu nakiwaza tokea jana nisaidieni na nyie,Kuna binti mmoja rafiki yangu nimefahamiana nae kama miez 4 imepita.

Tulikutana kanisani tukapendana coz tunafafana kwa vitu vingi ambavyo siyo kawaida kukutana na mdada wa namna hiyo,yaani tukitembea wote tunaonekna kama mapacha hivi!

Ni rafiki mzuri japo sijawahi fika kwake na yeye hapajui kwangu huwa tunatembelea ofisini maana pia tupo idara moja.

Huwa ana tabia ya kukopy display photo yangu whatsp nikiweka na mie pia hivyo hivyo.

Sasa jana nikaona kaweka picha ya mchumba wangu kama dp yake,(picha zangu hajawahi weka)
Nikaona sikumuuliza nkamtext ty mambo mengine mwishowe akaitoa.

(Aliwahi kumuona mchumba wangu mara moja tu nilimtambulisha kijuu juu sidhani kama wanafahamiana zaidi ya kuonana siku hiyo moja!!

Sasa wakuu mie kweli apo nimedoubt hivi,sijapendezwa nafikiria hata nipunguze urafiki,kiufupi sikumuelewa bidada.

Ushauri wenu wakuu mawazo yangu yanaweza kuwa sahihi? Au nina wivu Tu?
 
Onyesha kukasirika kwa kitendo hicho,urafiki wa miezi minne kitu gani kulinganisha na mchumba umpendae!chukulia kawaida uje kuuguza maumivu ya moyo.
 
Naamini mmeamka salama na wengne tushafika katk majukum yetu ya kulijenga Taifa!

Kuna kitu nakiwaza tokea jana nisaidieni na nyie,
Kuna bint mmoja rafiki yangu nimefahamiana nae kama miez 4 imepita.
Tulikutana kanisani tukapendana coz tunafafana kwa vitu vingi ambavy sy kawaida kukutana na mdada wa dizain hy,yan tukitembea wte tunaonekna kama mapacha hv!
Ni rafiki mzur japo sijawah fika kwakw na yy hapajui kwangu huwa tunatembelea oficin cz pia tupo idara moja
Huwa ana tabia ya kukop dp yangu whatsp nikiweka na mie pia hivyo hivyo
Sasa jana nikaona kaweka picha ya mchumba wangu kama dp yake,(picha zangu hajawah weka)
Nikaona sikumuuliza nkamtext ty mambo mengine mwishowe akaitoa
(aliwahi kumuona mchumba wangu mara moja tu nilimtambulisha kijuu juu sidhan kama wanafahamiana zaidi ya kuonana siku hiyo moja!!

Sasa wakuu mie kweli apo nimedout hv,sijapendezwa nafikiria hata nipunguze urafiki,kiufupi sikumuelewa bidada
Ushauri wenu wakuu mawaz yangu yanaweza kuwa sahihi? Au nina wivu Tu?

Hiyo picha ya mchumba wako kaipataje?
 
Onyesha kukasirika kwa kitendo hicho,urafiki wa miezi minne kitu gani kulinganisha na mchumba umpendae!chukulia kawaida uje kuuguza maumivu ya moyo.

Asante mkuu mashoga wengn mhm
 
Kaicopy kwend dp yangu

Hasa si ulisem kuwa mnatabia ya kukopian dp zenu? Usilinde love kwa mtutu au ujuzi wa ki upelelezi bt linda kwa upendo na ujuzi wa mahaba may be kaweka ku show apreciatian tu
 
Nyinyi wote bado watoto


mwenzio anaweza kuwa hana nia mbaya..kaona amuweke 'handsome wako' ili na yeye awarushe watu kuwa ana 'handsome' anampenda.......not necessarily anamtaka.....utoto fulani tu.....

si ajabu na nguo mnaazimana.......na mnaitana dear and sweety.....mkikua mtaacha....
 
Naamini mmeamka salama na wengne tushafika katk majukum yetu ya kulijenga Taifa!

Kuna kitu nakiwaza tokea jana nisaidieni na nyie,
Kuna bint mmoja rafiki yangu nimefahamiana nae kama miez 4 imepita.
Tulikutana kanisani tukapendana coz tunafafana kwa vitu vingi ambavy sy kawaida kukutana na mdada wa dizain hy,yan tukitembea wte tunaonekna kama mapacha hv!
Ni rafiki mzur japo sijawah fika kwakw na yy hapajui kwangu huwa tunatembelea oficin cz pia tupo idara moja
Huwa ana tabia ya kukop dp yangu whatsp nikiweka na mie pia hivyo hivyo
Sasa jana nikaona kaweka picha ya mchumba wangu kama dp yake,(picha zangu hajawah weka)
Nikaona sikumuuliza nkamtext ty mambo mengine mwishowe akaitoa
(aliwahi kumuona mchumba wangu mara moja tu nilimtambulisha kijuu juu sidhan kama wanafahamiana zaidi ya kuonana siku hiyo moja!!

Sasa wakuu mie kweli apo nimedout hv,sijapendezwa nafikiria hata nipunguze urafiki,kiufupi sikumuelewa bidada
Ushauri wenu wakuu mawaz yangu yanaweza kuwa sahihi? Au nina wivu Tu?
:angry::angry::llama::llama:
 
Nyinyi wote bado watoto


mwenzio anaweza kuwa hana nia mbaya..kaona amuweke 'handsome wako' ili na yeye awarushe watu kuwa ana 'handsome' anampenda.......not necessarily anamtaka.....utoto fulani tu.....

si ajabu na nguo mnaazimana.......na mnaitana dear and sweety.....mkikua mtaacha....

Lol the boss nilitegemea majibu ya hivi (utoto)
 
Nakushauri mpeleleze ili ufahamu vizuri undani wake. Kwani yawezekana kaweka picha hiyo kutokana na mulivyozoeana . Ila la muhimu pia ni kueleza ukweli kuwa kila nafsi ina mipaka yake. Na mtaendelea kuwa marafiki wazuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom