sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 29 amelazwa katika hospitali ya Mount Meru Arusha baada ya kutembea na mke wa mganga wa kienyeji. Kijana huyo amelazwa baada ya "jembe" lake kusimama kama nondo na kumsababishia maumivu makali na kuwataka madaktari wampe dawa ya kulilaza, na kama hakuna dawa, walikate.
Hii hatari!!
===Updates===
Hali ya mgonjwa bado c nzuri, ndugu walienda kwa mganga, mganga akasema akiondoa maumivu yataondoka na dudu kabisa na mtu asimwulize!
Hii hatari!!
===Updates===
Hali ya mgonjwa bado c nzuri, ndugu walienda kwa mganga, mganga akasema akiondoa maumivu yataondoka na dudu kabisa na mtu asimwulize!