most of the girls,ladies,woman are not really dealing with love true relationship but lovegumblers,aftermoney and business aids
inshort wengi humu ni wako kwa ajili ya biashara na kutafuta wapi kwa kutokea

wanaonekana wauzaji tu wanunuaji hawaonekaniMkuu, naomba ufafanuzi kidogo, nilipita kidogo kwenye ka-kozi ka marketing bhana sasa nilivyoona hapa nikafurahi kweli!
Hivi unaposema 'market' unamaanisha nini? si ni buyer and seller? halafu lazima kuwe na 'something to exchange'?
Halafu pia kwenye market lazima the two sides, kuwe na 'special agreement to buy the product'? si ndiyo?
Back to topic...
Sasa najaribu kufananisha na hii thread ambayo ina the so called ' one way marketing' kitu ambacho si rahisi kuwepo..!
yani kuwe na 'muuzaji' tu bila mnunuaji? inawezekana kweli?
Hebu jaribu kuvuta picha ninachozungumzia...
wanaonekana wauzaji tu wanunuaji hawaonekani
hata mi simuelewi khaathe thread is so bias..
kwani angesema kwa pande zote mbili zimeshindikana angeuliwa..?
most of the girls,ladies,woman are not really dealing with love true relationship but lovegumblers,aftermoney and business aids
inshort wengi humu ni wako kwa ajili ya biashara na kutafuta wapi kwa kutokea
Wanaotafuta pa kutokea humu sijawaona to be honest. Wanaweza kuwepo lakini sio majority.
Mkuu, naomba ufafanuzi kidogo, nilipita kidogo kwenye ka-kozi ka marketing bhana sasa nilivyoona hapa nikafurahi kweli!
Hivi unaposema 'market' unamaanisha nini? si ni buyer and seller? halafu lazima kuwe na 'something to exchange'?
Halafu pia kwenye market lazima the two sides, kuwe na 'special agreement to buy the product'? si ndiyo?
Back to topic...
Sasa najaribu kufananisha na hii thread ambayo ina the so called ' one way marketing' kitu ambacho si rahisi kuwepo..!
yani kuwe na 'muuzaji' tu bila mnunuaji? inawezekana kweli?
Hebu jaribu kuvuta picha ninachozungumzia...
JF ni sehemu pekee katika mitandao unaweza kujua tabia ya mwanamke. Wanasema mwanamke ni tabia. Si sura maana hata mbuzi anayo. Si shape maana hata sanamu la michellin lina shape.
Humu JF wanawake kama wanaume wanajieleza. You can read btn the lines ukapata picha ni mtu wa aina gani. Hata posts ambazo mara nyingi wanatia kautani zaidi utaelewa tu. Ukiamfuatilia mmoja kwa makini ni rahisi kujua wapi yupo serious na wapi anachangamsha genge.
Wanaotafuta pa kutokea humu sijawaona to be honest. Wanaweza kuwepo lakini sio majority.
do not defend a killer because of her beauty,words and smile