JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Jana nilikuwa naangalia move moja, dada mmoja akawa anahitaji msaada wa pesa kwenda kumuuguza mama yake, jamaa likampa shariti limkamue (wafanye mapenzi) kwanza, binti kajizungusha mwisho akakubali, basi wakaingia chumbani, wakawa wanaoneshwa wanashughurika kabisa, jamaa limemlalalia linapiga push-up, nikajiuliza kulikuwa na haja gani ya kuonesha wanafanya? si ingetosha tu wao kuingia chumbani na kutoka wenye furaha kuonesha the mission has completed? sisi ni watu wazima tungeelewa tu, niliona aibu sana maana nilikuwa naangalia na dada zangu na wengine ni wadogo sana.


